Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.

Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.

Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.

Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
 
Uko sahihi mia kwa mia.
Yanga walishafanya na watafanya Kila liwezekanalo kuhakikisha hatufanyi vizuri,wameshaonesha kua wanachukia na kua na wivu na mafanikio yetu hivyo watahakiikisha hatufuzu wala kufika mbali.
Ile dhana ya kua Kwa mMkapa hatoki mtu inawauma sana,wamehakikisha tunapoteza.
Wanachokifanyaga ni kuwapokea wageni ambao wamekuja kucheza na sisis kisha kuwasaidia ili watushinde.
Viongozi tazameni tahadhari hii.
 
Mliambiwa msajili mkaleta usanii Sasa mmejipa kazi ya kutafuta machaka ya kujifichia.
Ni mwendawazimu pekee atakaye shangaa Simba ikitolewa kwakua mpira ni mchezo wa wazi.
Mnasema mmesajili vijana wakati dk 70 washakata upepo.
 
Simba hata ikiwasajili wachezaji wote wa yanga na yanga ikawatumia kikosi cha coast union,utashangaa Simba wanafungwa hata goli 3 na yanga.
Na kama haitoshi utaona Simba anapigwa goli hata sita na Al Ahly Tripoli.

Simba imeacha wachezaji ambao huko wanakoenda wanakuwa wazuri.Hii michezo michafu ya yanga Simba wameshashindwa kuidhibiti

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.

Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.

Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.

Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
Mbona hamjiaimini,zile kauli za kujaza uwanja siku tatu hatuzisikii,ila mpaka sasa hatujasikia sold out,japo sasa hivi jezi mpya ya elfu thelathini inakupatia tickets na hapo jezi haina hata miezi miwili mshaishusha bei kutoka elefu 45 mpaka thelathini.

Halafu uwanja mmeachiwa, wachezaji wanaocheza ni wenu, still bado mnaitaja Yanga. Jiamini na timu yako.
 
Kuna maneno yanatembea chini kuwa Yanga imemtumia Gamondi kuwapa mbinu za kiufundi Al Ahly za kuikabili Simba.

Wasidhani hatujui kinachoendelea.
 
Mliambiwa msajili mkaleta usanii Sasa mmejipa kazi ya kutafuta machaka ya kujifichia.
Ni mwendawazimu pekee atakaye shangaa Simba ikitolewa kwakua mpira ni mchezo wa wazi.
Mnasema mmesajili vijana wakati dk 70 washakata upepo.
Yanga huwa inasajili pia, lakini miaka zaidi ya sita imekuwa haitumii mlango rasmi kwa timu kuingilia uwanjani. Unadhani ni bure hapo?
 
Mashabiki wanaoongoza kudeka dunia nzima
Yani tayari mmeshatafuta sababu
 
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.

Mkifanya Mąkosa ya kuamini kuwa kazi imeisha mmetuua wenzenu.

Yale ya Gwanengy Galaxy bado tunayakumbuka.

Watu wa kazi wahakikishe hakuna hujuma na ushindi unapatikana 100% hiyo kesho jioni
Wacha ushamba wa imani potofu wewe, unaamini sana uchawi.
 
Namba hazidanganyi, Simba ina nafasi ndogo ya kusonga mbele kombe la wamama kwa kushindwa kupata japo one shot on target mechi iliyopita.

Simba itafute tatizo lake na si kuficha madhaifu kupitia kichaka cha uchawi wa Yanga. Akili hizi zinampaisha Rage aliesema Simba wote mbumbumbu na kweli maana goli la mama pesa yote inaishia Yanga wao kelele tu.
 
Uko sahihi mia kwa mia.
Yanga walishafanya na watafanya Kila liwezekanalo kuhakikisha hatufanyi vizuri,wameshaonesha kua wanachukia na kua na wivu na mafanikio yetu hivyo watahakiikisha hatufuzu wala kufika mbali.
Ile dhana ya kua Kwa mMkapa hatoki mtu inawauma sana,wamehakikisha tunapoteza.
Wanachokifanyaga ni kuwapokea wageni ambao wamekuja kucheza na sisis kisha kuwasaidia ili watushinde.
Viongozi tazameni tahadhari hii.
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.
Simba haijawahi wapokea wapinzani wa Yanga?
 
Mmeachiwa uwanja wa taifa muutumie peke yenu sasa mnaanza kulia Lia nini? Yanga wameenda zao Zanzibar na wametoa kichapo cha paka mwizi, kazi kwenu mabululu anawasubilia
 
Back
Top Bottom