MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa.
Siku mbili zilizopita, makazi ya wanyamulenge, huko MINEMBWE, Kivu kusini, yalirushiwa mabomu mengi na drones na ndege za kivita za serikali ya Congo, baada ya kundi la TWIRWANEHO kulizidi nguvu jeshi, na kulinyang'anya silaha na kambi ya jeshi.
Hata hivyo, haikuzuia maafa, bada ya watu wapatao watano,akiwemo mwanamke mmoja, kuhudhulia mkutano wakiwa na mabomu, ambapo wamefanikiwa kujilipuwa na kusababisha vifo vya watu kadhaa.
Wahusika, wamekamatwa.
Na viongozi wa AFC/M23, wapo salama.
Taarifa za awali, zinasema kwamba, mabomu yaliyotumika, ni mali ya jeshi la Burundi. Kwa mjibu wa msemaji mkuu wa kidiplomasia wa M23, Bertrand Bisiimwa.
Taarifa zaidi, zitawajia hivi punde