M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Prove it 👆Ni propaganda za m23 ili wapate uungwaji mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove it 👆Ni propaganda za m23 ili wapate uungwaji mkono
Yeah!....ila wanaonekane na nchi za magharibi kuwa wanapambana dhidi ya Ugaidi, wakati wao ndio magaidi.Ni propaganda za m23 ili wapate uungwaji mkono
Tushawajua hao aise. FDLR. Hawana namna, matusi hayaui. Kikubwa tu himaya zao zinavunjwa kila kukicha. Nawaandaa tu muda si mrefu tutawaonaTatizo humu wengine wana act kama wendawazimu na kuanza kum attack mleta mada na mitusi ya rejareja kwa kisa gani sasa kunyweni maji, breath in and out.
False flag operationMpaka sasa, vifo vilivyotangazwa ni 11, na majeruhi 65.
vita ni propaganda , na m23 wanaeza fanya hv kuwachafua serikali ya DRC , jiongeze , jeshi la DRC haliwez tumia mbinu ya kujilipua kama wanaeza fika mpk eneo la tukio wakiwa na silaha , Tushirikishe akil yetu vizurAibu kubwa kwa serikali ya DRC kugeuka magaidi.
vita ni propaganda , na m23 wanaeza fanya hv kuwachafua serikali ya DRC , jiongeze , jeshi la DRC haliwez tumia mbinu ya kujilipua kama wanaeza fika mpk eneo la tukio wakiwa na silaha , Tushirikishe akil yetu vizurYaani mtu anapambana na waasi halafu yeye ndio awe haidi tena? 😂😂😂
DRC hawajawa na watu wa kujitoa muhanga , wakongo wengi kama watz , huez nambia Jeshi la DRC limefanikiwa kumtuma mtu akafika mpk eneo la tukio na kuona nijia ya kujilipua kama njia sahihi ya kuwakabili m23 , maana viongoz m23 ni ngumu kuwalenga kwa njia ya kujitoa muhanga , kama DRC wangemtumi sniper tu na sio kujilipua , M23 wanajenga chuki kati ya serikali na wananchi waoProve it 👆
vita ni propaganda , na m23 wanaeza fanya hv kuwachafua serikali ya DRC , jiongeze , jeshi la DRC haliwez tumia mbinu ya kujilipua kama wanaeza fika mpk eneo la tukio wakiwa na silaha , Tushirikishe akil yetu vizurTushawajua hao aise. FDLR. Hawana namna, matusi hayaui. Kikubwa tu himaya zao zinavunjwa kila kukicha. Nawaandaa tu muda si mrefu tutawaona
hao ni m23 wanajarib kujenga chuki kati ya raia wa Goma na serikali ya DRC , watu wapo ahead kimipango , Front ya m23 hata SA haez ipita , imekuwaj jeshi la DRC liweze fanikisha kumfikisha mtu mpk eneo la tukio , tena wakijua mtu haez mfikia mlengwaM23 haiwezi kutawala kwa Amani
Nyie mashabiki wa hizi vita za mitandaoni naona mnahemkwa pasipo na haya wala stara ni vyema hao marehem/majeruhi wenu mkawastiri kuliko kuleta taharuki hapa jukwaani. Mna hulka za wanyama 😈 mfano wewe ulie up load hii picha unajua ya kuwa upo kinyume na hili jukwaa au ndio tayari na wewe?Ni kweli Watu wamekufa lakini madai yako kwamba ni serikali ndio imeua raia wao Haina uthibitisho wowote.
Wewe unaongea unajua mtu anaambiwa nini mpaka kutekeleza tukio la kujilipua? Kama hujui huna sababu ya kutetea au kubisha kila kitu kinawezekanaDRC hawajawa na watu wa kujitoa muhanga , wakongo wengi kama watz , huez nambia Jeshi la DRC limefanikiwa kumtuma mtu akafika mpk eneo la tukio na kuona nijia ya kujilipua kama njia sahihi ya kuwakabili m23 , maana viongoz m23 ni ngumu kuwalenga kwa njia ya kujitoa muhanga , kama DRC wangemtumi sniper tu na sio kujilipua , M23 wanajenga chuki kati ya serikali na wananchi wao
JESHI L DRC NI BOVU NA HALINA NIDHAMU ILA KWA HILI SIO WAO , DRC HAKUNA WATU WA KUJITOA MUHANGA , HUYO NI MTU KAPANGWA NA M23 KWA VITISHO KISHA WANAFRAME KUWA NI M23