Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

Hizi habari, hazijatoka magazetini, nawapeti vitu moto moto.

Hili ndilo kosa kubwa serikali ya DRC na Bujumbula walilofanya kwa ushilikiano wao. Hapo mimi ujumbe nimewapeni, kaeni msikilizie kinachoenda kutokea.

Ila, pale unaposhindwa kupambana na waasi wako, ukaanza kupambana na raia, ndo mwanzo wa kufail.

Kwa hili, sidhani kama kuna raia wa kawaida atakuwa na imani na upendo na serikali sasa. Idadi ya vifo itawajia punde
Nyingi wacongo wote takataka tu. Washenzi. Na hamtapata Amani mpaka muache njia mbaya. Mnauwa watu wasio na hatia majuzi Kuna sehemu mmefunga raia mikono nyuma na kuanza kuwauwa kwa kuwaponda vichwa mpaka wanakufa zaidi ya watu 15. Alafu mnataka Amani. Hamtaipata. Hata Mungu anasema hapana AMANI KWA WABAYA.
(Isaya 48:22 Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA. )
 
Kujilipua ni ishara ya kushindwa vita,Kongo wangekuwa na jeshi imara wasingetumia mbinu ya ugaidi ya kujitoa muhanga.wangewatuma makomandoo kadhaa dakika 5 zilikuwa zinatosha kula vichwa vya viongozi wa m23.
Huwezi pigana silaha za jadi na silaha mpya wanazopewa Rwanda na marekani

Watu wana night vision
Drone interceptor
Satelite information
Bado bunduki walizonazo ni Advanced
 
Attachments

  • 8207294B-2742-4A38-BB05-7059343831C4.jpeg
    8207294B-2742-4A38-BB05-7059343831C4.jpeg
    177.3 KB · Views: 2
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa.

Siku mbili zilizopita, makazi ya wanyamulenge, huko MINEMBWE, Kivu kusini, yalirushiwa mabomu mengi na drones na ndege za kivita za serikali ya Congo, baada ya kundi la TWIRWANEHO kulizidi nguvu jeshi, na kulinyang'anya silaha na kambi ya jeshi.

Hata hivyo, haikuzuia maafa, bada ya watu wapatao watano,akiwemo mwanamke mmoja, kuhudhulia mkutano wakiwa na mabomu, ambapo wamefanikiwa kujilipuwa na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

Wahusika, wamekamatwa.
Na viongozi wa AFC/M23, wapo salama.

Taarifa za awali, zinasema kwamba, mabomu yaliyotumika, ni mali ya jeshi la Burundi. Kwa mjibu wa msemaji mkuu wa kidiplomasia wa M23, Bertrand Bisiimwa.

Taarifa zaidi, zitawajia hivi punde

Safi sana acha yauane na yafe tu kwasababu ni majinga.

Nyau de adriz
 
Nyingi wacongo wote takataka tu. Washenzi. Na hamtapata Amani mpaka muache njia mbaya. Mnauwa watu wasio na hatia majuzi Kuna sehemu mmefunga raia mikono nyuma na kuanza kuwauwa kwa kuwaponda vichwa mpaka wanakufa zaidi ya watu 15. Alafu mnataka Amani. Hamtaipata. Hata Mungu anasema hapana AMANI KWA WABAYA.
(Isaya 48:22 Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA. )
Elewa kwanza,usijumlishe. uliowaona wamefungwa kamba, ni watutsi wa Congo. Wanaowafunga kamba, ni serikari.
 
Pamoja na hayo, mabomu mengine yamerushwa na jeshi la Burundi.

ikumbukwe, siku za nyuma kuna jeshi la Afrika kusini, watu wapatao 800, walitua Bujumbura. Wametoka huko kuelekea Bukavu, wakiwa na sale za jeshi la Burundi. Serikali ya DRC pia, baada ya kuwa na shaka na uwanja wa Kindu, jimboni maniema, kwa sasa inatumia uwanja wa Bujumbura.
Burundi, imeahidi serikari ya DRC kurudisha Kivu kusini, kwa malipo ya kazi yake, wakati inajiandaa pia kuhakikisha inairudisha Kivu kaskazini

Mpaka hapo, anaechochea kuni anajulikana
 
Hizi habari, hazijatoka magazetini, nawapeti vitu moto moto.

Hili ndilo kosa kubwa serikali ya DRC na Bujumbula walilofanya kwa ushilikiano wao. Hapo mimi ujumbe nimewapeni, kaeni msikilizie kinachoenda kutokea.

Ila, pale unaposhindwa kupambana na waasi wako, ukaanza kupambana na raia, ndo mwanzo wa kufail.

Kwa hili, sidhani kama kuna raia wa kawaida atakuwa na imani na upendo na serikali sasa. Idadi ya vifo itawajia punde
Ni propaganda za m23 ili wapate uungwaji mkono
 
Pamoja na hayo, mabomu mengine yamerushwa na jeshi la Burundi.

ikumbukwe, siku za nyuma kuna jeshi la Afrika kusini, watu wapatao 800, walitua Bujumbura. Wametoka huko kuelekea Bukavu, wakiwa na sale za jeshi la Burundi. Serikali ya DRC pia, baada ya kuwa na shaka na uwanja wa Kindu, jimboni maniema, kwa sasa inatumia uwanja wa Bujumbura.
Burundi, imeahidi serikari ya DRC kurudisha Kivu kusini, kwa malipo ya kazi yake, wakati inajiandaa pia kuhakikisha inairudisha Kivu kaskazini

Mpaka hapo, anaechochea kuni anajulikana
Anachochea kuni watu wanataka kuokoa nchi yako?? we matako kweli mjaa laana
 
Elewa kwanza,usijumlishe. uliowaona wamefungwa kamba, ni watutsi wa Congo. Wanaowafunga kamba, ni serikari.
Acha kujitetea hata madereva wengi manawatesa na kuwauwa. Ndiyo maana nimewaambia nyinyi ni takataka bro nishakuja congo Mara nyingi tu naongea kitu ninachokijua. Mna ujinga mwingi sana. Unatakaje Amani huku unauwa wageni ambao hawahusiki na mambo ya nchi yenu?. Wanaleta mizigo ambayo ni ya kwenu wenyewe na bado mnawauwa alafu mnataka Amani. Hakuna Mungu wa namna hiyo wa kuwapa Amani. Mtatafuta amani kwa mtutu na amtaipata.
 
Tatizo humu wengine wana act kama wendawazimu na kuanza kum attack mleta mada na mitusi ya rejareja kwa kisa gani sasa kunyweni maji, breath in and out.
 
Pamoja na hayo, mabomu mengine yamerushwa na jeshi la Burundi.

ikumbukwe, siku za nyuma kuna jeshi la Afrika kusini, watu wapatao 800, walitua Bujumbura. Wametoka huko kuelekea Bukavu, wakiwa na sale za jeshi la Burundi. Serikali ya DRC pia, baada ya kuwa na shaka na uwanja wa Kindu, jimboni maniema, kwa sasa inatumia uwanja wa Bujumbura.
Burundi, imeahidi serikari ya DRC kurudisha Kivu kusini, kwa malipo ya kazi yake, wakati inajiandaa pia kuhakikisha inairudisha Kivu kaskazini

Mpaka hapo, anaechochea kuni anajulikana
Mnajiandaa kuivuruga na Burundi ?...

Mtashindwa tu nyie wahaini..
 
Back
Top Bottom