Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

Ndugu yangu mlokole nafikiri unasemea wale waasi wa Kiislam wa ADF NALU? wale asili yao ni Uganda wakiwa na madai ya kuifanya Uganda iwe Nchi ya kiislam,

Hata wakati wanawauwa wale raia walikua wanalalamika eti " waislam wanaonewa
Wakati kimantiki Congo haijawahi kuwa na vita ya kidini ,

Ni wapuuzi tu wale toka Uganda,unajua tulipofikia Congo imekua chaka la uchafu wote ,usishangae siku Congo wakatokea waasi kutokea Gabon au Togo huko wakakianzisha Congo
 
Ndugu congo inakua Chaka sababu ya tamaa yenu wenyewe maana kila mtu ujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe. Mtu anatoka nje ya nchi yenu na Nia yake mbaya anaingia congo mnampa sapoti mpaka anapata nguvu anaanza kusumbua na kuwauwa
 
Kuna ubaya gani kuweka video kinacho endelea CONGO DRC?. Ila samahani kama nilicho upload kimeamanisha moyo wako.
 
Intuition.... Hii ni made from Kigali kuwapaka wengine matope.
 
Wana akili kweli?
 
Vipi kwani? Humu hatujuani mkuu punguza shobo hili ni jukwaa huru so mtu yeyote anaweza kuchangia keep guessing lazy cow
Mtusi tulia mpelekewe moto


Mara hii Dunia imeshajua lialia zenu.


Huku mnapigwa sanctions


Huku mnapelekewa moto
 
Mtusi tulia mpelekewe moto


Mara hii Dunia imeshajua lialia zenu.


Huku mnapigwa sanctions


Huku mnapelekewa moto
First and first I don't argue with fools and for that reason nimechagua wimbo wa kasongo ukusindikize kwenye bin aka ignore list, have a good day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…