Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

Wamarekani walisifiwa sana kwa kutoa misaada tangu zama za miaka ya sitini kuja kwa uponi mpaka misaada ya miradi ya afya kama malaria, ukoma kifua kikuu na UKIMWI. Sasa wameshituka misaada yao haitumiki vema. Sali la kuuliza, utampangiaje mtu namna ya kutumia msaada uliompa?
 
Uhakiki wa Matumizi ya pesa yawe yako au ya mfadhili ni muhimu.
Mimi nadhani Marekani ilikuwa inatoa misaada inayosimamiwa na serikali na ile ya NGO.
Sina takwimu za nani ameitumia vizuri,ila najua hata Marekani ilikuwa na mfumo wa kuchunguza hiyo misaada inatumiwaje hatua hadi hatua ndio wakupe mwendelezo wa misaada.
Ila nasi tujitutumue kwa kile tunachoweza.
Ati Marekani akupe chakula cha msaada kwa kuwa wewe hutaki kujishugulisha na kilimo.
Uvivu sasa hivi ndio mnaita deal,wacha Musk atuonyeshe kidole namba nne.
 
Hizo fedha zinapita kwenye NGO sasa serikali itajuaje matumizi?
 
Safi sana Elon Musk.
 
This Man is Like Moses of that Moment, Israelists were heading to Canaan! I must declare this, I don't know him and I haven't any interest on his issues. But, he has something especially for Africa!
 
Kimenuka!
 
lkn usisahau kama kwa mfano tanzagiza wakiambiwa warudishe fedha unafikiri watazitoa wapi hizo fedha za kurudisha, mifukoni mwao? la hasha, watachukuwa kodi za masikini kurudishia siajabu na tozo nyingine juu, pure evil …
Kama si kodi ni kuingia mikataba inayohusu rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…