Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
KAZI NYEPESI TU - Atakaye kataa anawekewa vikwazo na mwishowe wananchi wanamkataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aione Tlaatlaah na mwenzake Lucas Mwashambwa watetezi wa uovu na uhalifu...
mtoa maelezo kwenye comment anapotosha wadau kwa kueleza matango pori tupu,Aione Tlaatlaah na mwenzake Lucas Mwashambwa watetezi wa uovu na uhalifu...
Hivi kumbe huwa wanapewa tu bila utaratibu!! Mimi nilijua kwamba wanapoenda kuomba hiyo misaada wanaainisha kuwa ni Kwa ajili ya matumizi fulani mahususi. Ila wanapopewa hawaendi kutekeleza Yale mambo waliyoombea msaada. Badala yake wanafanya kinyume kabisa. Ndo maana wenye mpunga wao wamechungulia wakaona isiwe tabu. Nilifikiri hivyo eti!!! Kumbe nilikuwa nimeenda chaka!!Wamarekani walisifiwa sana kwa kutoa misaada tangu zama za miaka ya sitini kuja kwa uponi mpaka misaada ya miradi ya afya kama malaria, ukoma kifua kikuu na UKIMWI. Sasa wameshituka misaada yao haitumiki vema. Sali la kuuliza, utampangiaje mtu namna ya kutumia msaada uliompa?
Ni wazi hujui uwazalo na ukawa hujui usemalo/uandikalo...Wamarekani walisifiwa sana kwa kutoa misaada tangu zama za miaka ya sitini kuja kwa uponi mpaka misaada ya miradi ya afya kama malaria, ukoma kifua kikuu na UKIMWI. Sasa wameshituka misaada yao haitumiki vema. Sali la kuuliza, utampangiaje mtu namna ya kutumia msaada uliompa?
Unapiga siasa tu wewe...mtoa maelezo kwenye comment anapotosha wadau kwa kueleza matango pori tupu,
hiyo ikimaanisha hana taarifa sahihi na kamili dhidi ya anachojaribu kupotosha. Athari za siasa za chuki zinamtesa na kumfanya kuona uongo na uptoshaji ndio uhodari,
Tz ina vifaa tiba hivyo vya kutosha karibu katika kila hospitali za rufaa nchini.🐒
Gentleman,Unapiga siasa tu wewe...
Na unaandika kutoa taarifa ya uwepo wa vifaa tiba vya kutosha kwenye hospitali zetu kana kwamba sisi unaotupa taarifa hii tunaishi sayari ya Mars, na kwamba hatuzijui wala kwenda kutibiwa kwenye hizo hospitali...
Na kana kwamba hatuzijui shule zetu na mapungufu yake makubwa na kumbe pesa za USAID zimeletwa kwa mabilioni...
Muonage aibu basi wakati fulani kudanganya...
Kwa point gani ulizonazo ww kilaza njaa kalirelax kiongozi wa manyumbu wenye mihemko bila point 🐒
Kilaza kwenye ubora wako ulipobobeamtoa maelezo kwenye comment anapotosha wadau kwa kueleza matango pori tupu,
hiyo ikimaanisha hana taarifa sahihi na kamili dhidi ya anachojaribu kupotosha. Athari za siasa za chuki zinamtesa na kumfanya kuona uongo na uptoshaji ndio uhodari,
Tz ina vifaa tiba hivyo vya kutosha karibu katika kila hospitali za rufaa nchini.🐒
Wewe ni Takatakasi muhimu na wala sio Lazima kufanya hilo licha ya kua ushahidi upo wa kutosha tu.
hakuna alazimishwae kusaidia anae jiweza 🐒
sasa wewe muerevu usie takataka mbona unarusha mapovu tu na mihemko ya kiwango cha juu sana na huna pwainti ya maana dhidi ya hoja mahususi mezani aisee?🐒Wewe ni Takataka
relax bila mihemko gentleman ikiwa umeishiwa point 🐒Kilaza kwenye ubora wako ulipobobea
basi mueleze huyo mmatumbi wa hapo kwa madiba kwamba Tz hatubabaiki na mikwara yake, tunalo jukumu muhimu sana la kuwatumikia wanainchi wa Tanzania kwa bidii na uaminifu wa kiwango cha juu sana 🐒Kwa point gani ulizonazo ww kilaza njaa kali
Uzuri mmoja wa hi hoja yako, ni kwamba hayo madini hawaibi, viongozi wetu wanawekaga sahihi wenyewe na Kingereza wanajua so hawalaumiki wa MarekaniPili na wao waache kusgunikiza nchi za kiafrica kuchukua madini kwa vei ya bwereree kutikana na influence za uasid
Tunazaliana na kuongezeka, YES, I AGREE....Gentleman,
ni uposhaji kusema ati kuna kifaa kimoja tu nchi nzima, hali ya kua vifaa hivyo vipo miongoni mwa hospitali mballimbali humu nchini, ni upotoshaji wa kiwango cha ukibaka na utapeli,
hata hivyo,
kama taifa tunazaliana na tuna ongezeka siku hadi siku na mahitaji pia yanaongeka.
Serikali sikivu ya CCM inafanya juhudi za kila namna, na wala haitachoka kuwatumikia waTanzania kulingana na mahitaji yao ya msingi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa kulingana na upatikanaji wa fedha.
mihemko, ghadhabu, makasiriko na upotoshaji wa watafuta kiki kwa uzushi havitafua dafu kwenye suala la serikali sikivu ya CCM kuwatumikia na kuwaletea wanainchi na waTanzania wote maendeleo endelevu.
Ni muhimu sana kurelax 🐒