Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

mtetezi wao ni yule kibaraka na tapeli anae warubuni wanainchi pesa kidigitali,

kama Taifa,
iko miradi mingi tu kwenye elimu, afya, miundombinu, kilimo n.k ambayo imetekelezwa nchini kwa kimbelembele cha misaada yao.

Miradi ile inawanufaisha waTz wote na Tz haiwajibiki na wala haina haja hata kidogo kubabaika na aliejitolea bila kuombwa 🐒
Basi sawa,mbivu na mbichi hadharani hivi karibuni
 
Eeeh kama wanataka tuwape ripoti hatuwapi hata wasipoleta waache sisi tushajijengea majumba na nyingine tukaweka huko uswiss.

Maneno ya mkosaji. Bajeti yetu ina eneo linaitwa misaada ya wahisani. Tunazibaje eneo hilo?
Siasa safi ni za kujitegemea. Tuwe na nidhamu na kile tunachokusanya. Kuanza kuleta maneno mengi sasa hivi ni mambo yale yale ya kuidanganya nafsi..sizitaki mbivu hizi
 
Elon ameamua kutukalia kooni, ana haki ya kujua pesa zinafanya nini, ila hajui kuwa ripoti ya uongo inaweza kutengenezwa.

Tunachukua misaada na kununua magari ya mradi...wenyewe wanataka kuona hiyo miradi iko wapi? 😂 😂 😂 😂 😂
 
naomba tu wamarekani watambue kuwa, ss waafrica wenye uchungu na bara la africa, tunamtaka trump ikulu ya marekani (white house) mpaka 2040 tu. Wakifanya hvo roho zetu zitasuhuzika sana.

Halafu kuna watu wanasema wasitusumbue. Wakati hata budget zetu asilimia karibu arobaini inajazwa na hela za misaada
 
Kama Taifa,
tutaendelea kuwajibikia maendeleo ya wananchi na waTanzania wote bila kushurutishwa na mmatumbi kutoka taifa lolote duniani,

Tutaendelea kununua vifaa vya kazi kwa fedha zetu wenyewe na kuvitumia kwa maslahi mapana ya wananchi wote wa Tanzania.

anaejitia kimbelembele cha kutoa misaada anakatibishwa na misaada yake itapokelewa lakini kamwe hatutakua na haja ya kubabaika nae kama Taifa huru linalojitegeamea 🐒

Aiseeee...kweli tuko serious. Na kuanzia lini tutatengeneza bajeti ya asilimia 100 kwa mapato yetu wenyewe?
 
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk

"Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi gani jinsi unavyotumia fedha wakati si zako? Hivi ndivyo Serikali yetu ya Shirikisho inavyotumia fedha zetu. Wanatumia fedha za mtu mwingine kwa watu wasiojua. Na tunapotaka kupitia jinsi fedha zote zimetumika, hatuoni chochote. Watu wanaopokea fedha wanataka kuendelea kupokea fedha na hawafanyi kile wanachopaswa kufanya nazo. Wanataka tu kuzitumia kujinufaisha wenyewe. Sababu ya mimi kuweka juhudi nyingi katika kusitisha USAID ni kwa sababu nafikiri ni hali mbaya sana. Si hiari na kama viongozi wa Afrika hawawezi kutoa ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya na mabilioni tunayowapa kila mwaka, basi hawazihitaji. Marekani inafilisika na hatuwezi kuruhusu hilo." — Elon Musk kiongozi wa Idara ya Ufanisi ya Serikali ya Marekani

Kulingana na ripoti, nchi za Afrika zinadaiwa kupokea zaidi ya dola bilioni 13 mwaka 2024 kwa ajili ya kujenga shule, hospitali nk

View attachment 3269171
elon ni zaidi ya binadam wa kawaida
 
Aiseeee...kweli tuko serious. Na kuanzia lini tutatengeneza bajeti ya asilimia 100 kwa mapato yetu wenyewe?
mara zote tunafanya hivyo kama Taifa huru linalojitegemea, na tutaendelea kufanya hivyo mwaka hadi mwaka, wao wasitishe au waendelee kutoa misaada yao kadiri ya hiyari yao,

Tanzania tunasonga mbele 🐒
 
mara zote tunafanya hivyo kama Taifa huru linalojitegemea, na tutaendelea kufanya hivyo mwaka hadi mwaka, wao wasitishe au waendelee kutoa misaada yao kadiri ya hiyari yao,

Tanzania tunasonga mbele 🐒

Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya nafsi

"In the 2024/25 Tanzanian budget, development partners are expected to contribute 5.13 trillion Tanzanian shillings (approximately 10.3% of the total budget) in grants and concessional loans, with the government aiming to reduce its reliance on donor funding. "
 
Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya nafsi

"In the 2024/25 Tanzanian budget, development partners are expected to contribute 5.13 trillion Tanzanian shillings (approximately 10.3% of the total budget) in grants and concessional loans, with the government aiming to reduce its reliance on donor funding. "
Unajua Hawa wapumbavu wanadhani watanzania wote ni wapumbavu kama wao.
 
Safi sana. Ni hatua nzuri Marekani inachukua kuhusu fedha wanazotoa. Maana wanatoa pesa nyingi kwenye elimu, afya na miundombinu mbalimbali lakini bado watoto katika baadhi ya shule nchini wanakaa chini, shule hazina milango wala madirisha, hospitali hazina dawa na vifaa muhimu. Wawajibishwe haraka sana
 
Hawa wasenge wasitishiwe hiyo misaada ,ni upumbavu kutoa misaada ya mabilioni ya dollar ambayo inaishia kufaidisha washenzi wachache kwenye hizi banana republic na kufanya ushenzi wa kila aina ikiwemo mauaji na ukandamizaji wa haki za raia kama ccm wanachofanya TANZANIA
 
Walianza na Greenland. Mara wakahamia Gaza sasa NI zamu ya Africa .Elon kapewa taarifa kuna makamu wa rais WA kisiwa flani kazuiliwa Airport Angola sasa akapata Idea Kwan asikanunue kabisa kale kakisiwa kwasbb viongozi wake hawako serious .alafu unanuaje kile kisiwa na ukiwaambia rudisheni dola bil 13. Wanakwambia bado tuna migodi ya dhahabu geita?HIINCHI ITAKUJA KUUZWA (In NDUGAI voice)
 
Hela za misaada wanatapanya kununua na ku service ma Land Cruiser ya serikali na kuyajaza mafuta. Wanajilipa mpaka vocha za simu.

Imagine Tanzania kuna radiology machine moja tu ya 5.0 Tesla.

Watu wanatoka Songea kwenda Muhimbili kuifuata.

Hivi hiyo mashine ni dola ngapi ? Umekuwa mtambo wa nuclear ? Kwamba hatuwezi ku afford mashine 10 kila mkoa ???

Na haya ma Land Cruiser wanayo mangapi ?

Viongozi wa Africa ni heartless, stone cold murderers.
Aione Tlaatlaah na mwenzake Lucas Mwashambwa watetezi wa uovu na uhalifu...
 
Back
Top Bottom