GE2025 Viongozi wa Bodaboda Arusha wapo 'Lokapu' wakituhumiwa kula hela za kempeni za chama cha Siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Screenshot 2025-10-12 162153.jpg

Screenshot 2025-10-12 163052.jpg
VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha za kampeni zinazokadiriwa kufikia shilingi milioni 30.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa viongozi hao walipokea kopon za mafuta kutoka chama kimoja cha siasa jijini Arusha, kwa lengo la kuwawezesha madereva wa bodaboda na bajaji wapatao 200 kumkaribisha kiongozi wa chama hicho aliyekuwa akifanya ziara ya kisiasa mkoani humo. Kila dereva alitarajiwa kuwekewa mafuta ya thamani ya lita nne kupitia uratibu wa viongozi wao.

Hata hivyo, badala ya fedha hizo kufika kwa walengwa, imeelezwa kuwa viongozi hao waligawa kopon chache kwa baadhi ya madereva, huku kopon nyingine wakiziuza na kuchukua fedha taslimu, kinyume na makubaliano yaliyowekwa kati ya chama hicho na kituo kimoja maarufu cha mafuta jijini Arusha.

Vurugu Zazuka Kituo cha Mafuta
Mwanzoni mwa wiki hii, zaidi ya madereva 100 wa bodaboda na bajaji walijikusanya na kuvamia kituo hicho cha mafuta wakishinikiza kupewa mafuta waliyokuwa wameahidiwa. Tukio hilo lilisababisha taharuki kubwa kwa zaidi ya saa sita, baada ya mmiliki wa kituo hicho kukataa kutoa mafuta akidai hajalipwa na chama husika.

Baada ya majadiliano marefu kati ya viongozi wa chama na uongozi wa kituo hicho, makubaliano mapya yalifikiwa majira ya saa nane mchana, na madereva wakaanza kupewa mafuta - hali iliyorejesha utulivu, japokuwa wengine walilalamika kutopata haki yao kikamilifu.
Screenshot 2025-10-12 162209.jpg
Polisi Wathibitisha Kuwashikilia
Polisi mkoani Arusha wamethibitisha kuwa viongozi hao wa UBOJA wako mikononi mwao kwa mahojiano zaidi, huku taarifa zikidai kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wanne ametoweka na anatafutwa.

Chanzo kutoka ndani ya Jeshi la Polisi kimesema kuwa upelelezi umekamilika kwa kiasi kikubwa, na kuna uwezekano mkubwa watuhumiwa kufikishwa mahakamani Jumatatu, Oktoba 13, 2025, kujibu tuhuma za udanganyifu na matumizi mabaya ya madaraka.

Hadi tunapokwenda mitamboni, jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Justine Masejo, ili kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio hilo hazikufanikiwa, kwani simu yake ilikuwa haipatikani.

Chanzo: Arusha Digital
 
Hiyo Takukuru hawaoni ni rushwa?
Hivi ni baadhi ya vitu vinavyoongez hasir za wananchi!
Wakila watu ni makosa vipi zile zinazoliwa na mchwa wa ccm na drones zao?
 
Hicho chama cha siasa chenye jina la "CHAMA FULANI" kimesajiliwa lini?

Ktk kumbukumbu za msajili wa vyama vya siasa, sioni chama cha siasa kilichosajiliwa kwa jina hilo...

Na sijui hata hao Polisi wakienda mahakamani sijui hata yao ya mashitaka (charge sheet) itasema kosa lao ni "kula pesa TZS 30,000,000 za Chama Fulani?" au...??

Na kwa mtazamo mwingine mwandishi umeogopa tu kutaja jina. Haina shaka yoyote kuwa chama hicho ni kile kinachoteka na kuua watu kwa kulazimishwa kupendwa yaani CCM...

Na wewe mwandishi umeogopa kutekwa ukikitaja...
 
Ila Tanzania wananchi maskini wa akili mnaenda kugombania lita 4 za msaada mlizoahidiwa mtapewa ili mukaribishe msafara haimake sense kabisa
 
VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha za kampeni zinazokadiriwa kufikia shilingi milioni 30.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa viongozi hao walipokea kopon za mafuta kutoka chama kimoja cha siasa jijini Arusha, kwa lengo la kuwawezesha madereva wa bodaboda na bajaji wapatao 200 kumkaribisha kiongozi wa chama hicho aliyekuwa akifanya ziara ya kisiasa mkoani humo. Kila dereva alitarajiwa kuwekewa mafuta ya thamani ya lita nne kupitia uratibu wa viongozi wao.

Hata hivyo, badala ya fedha hizo kufika kwa walengwa, imeelezwa kuwa viongozi hao waligawa kopon chache kwa baadhi ya madereva, huku kopon nyingine wakiziuza na kuchukua fedha taslimu, kinyume na makubaliano yaliyowekwa kati ya chama hicho na kituo kimoja maarufu cha mafuta jijini Arusha.

Vurugu Zazuka Kituo cha Mafuta
Mwanzoni mwa wiki hii, zaidi ya madereva 100 wa bodaboda na bajaji walijikusanya na kuvamia kituo hicho cha mafuta wakishinikiza kupewa mafuta waliyokuwa wameahidiwa. Tukio hilo lilisababisha taharuki kubwa kwa zaidi ya saa sita, baada ya mmiliki wa kituo hicho kukataa kutoa mafuta akidai hajalipwa na chama husika.

Baada ya majadiliano marefu kati ya viongozi wa chama na uongozi wa kituo hicho, makubaliano mapya yalifikiwa majira ya saa nane mchana, na madereva wakaanza kupewa mafuta - hali iliyorejesha utulivu, japokuwa wengine walilalamika kutopata haki yao kikamilifu.
Polisi Wathibitisha Kuwashikilia
Polisi mkoani Arusha wamethibitisha kuwa viongozi hao wa UBOJA wako mikononi mwao kwa mahojiano zaidi, huku taarifa zikidai kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wanne ametoweka na anatafutwa.

Chanzo kutoka ndani ya Jeshi la Polisi kimesema kuwa upelelezi umekamilika kwa kiasi kikubwa, na kuna uwezekano mkubwa watuhumiwa kufikishwa mahakamani Jumatatu, Oktoba 13, 2025, kujibu tuhuma za udanganyifu na matumizi mabaya ya madaraka.

Hadi tunapokwenda mitamboni, jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Justine Masejo, ili kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio hilo hazikufanikiwa, kwani simu yake ilikuwa haipatikani.

Chanzo: Arusha Digital
Bodaboda wapumbavu tu
 
Polisi nao wanatumika hovyo sana. Hivi wanashindwa kutumia akili kweli na kujiingiza kwenye utapeli.

Hicho chama hakiezi enda kusema popote.
 
Ndio maana nilisema hapa makonda pamoja na mbwembwe zoote kama chadema wangetia timu kwsnye 'uchafuzi' mkuu angetiwa dole la kati na hela zake machalii wangezila!
 
Back
Top Bottom