Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

😎
 
Hao mliowaua, hakuna wakati walionekana wapo huru.

Tundu aliyishiwa kwanza, baadaye mkampiga risasi kweli. Ben Saanane alitishiwa kwanza, baadaye mkampoteza. Azory alitishiwa kwa kufichua mauaji yanayofanywa na polisi, baadaye mkampoteza.

Inaonekana mnaumia sana kwa kukosa wa kumshindilia risasi.

Lema, Mungu akulinde. Shetani anasikitika kwa kuikosa damu yako.
 
Nje ya mada nalogoff.
 
Umenifurahisha ulipoandika kuwa wameshindwa kwenye box la kura! Bahati nzuri wengi wetu humu tunamwamini Mungu na Mungu anajua kilichopo kwenye nafsi zetu
 
Ukiukwaji ni mkubwa sanaa. Kuanzia mchakato wa uchaguzi mpaka kufikia ccm inatafuta wabunge wa chadema vitu maalum kwa tochii ili kuleta taswira ya bunge la jmt hulioni hilo ? Hii aibu mtaibeba nyiee mileleee
 
Ukiukwaji ni mkubwa sanaa. Kuanzia mchakato wa uchaguzi mpaka kufikia ccm inatafuta wabunge wa chadema vitu maalum kwa tochii ili kuleta taswira ya bunge la jmt hulioni hilo ? Hii aibu mtaibeba nyiee mileleee
Kwani msipowapeleka kuna impact gani?
 
Kwa hapa jukwaani, kati ya watu ambao tayari ni mentally crippled, wewe huwezi kukosekana kwenye hiyo orodha.
 
Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwende nje kuwa wakimbizi.
Mkuu, ni vyema ukajitafakari halafu uamue aidha ukae kimya au uuseme ukweli wa moyo wako. Hii Dunia tunapita tu. Huenda unatetea maslahi ya tumbo lako, si vibaya Ila ukumbuke wengine wameachana na tumbo, wanatetea roho zao.
 
Mara mnataka kuifuta CHADEMA mara mnalazimisha iwapeleke wabunge wa viti maalum hiv hata mnajua mnataka nini kweli 😀
 
Ukweli huwa unajidhihilisha hata Kama utachelewa, Kama ni waongo hawajatishiwa ni suala la muda tuu,
 
Kwa hiyo nani anataka uteuzi. Mtu akitoa maoni tu ni kutaka uteuzi. Tumia akili, we unadhani kila mtu ni kama wewe.
hisia za kupenda Chama chako zimekuharibu

Wanaanza kukimbia viongozi,wanachama wanafatia,tuko pamoja nao

Sasa tuone mkae peke enu hapa Tanzania,..

We kwani unafikiri hayo unayoyasikia makundi ya kigaidi yalianzaje?!!

Tafakari
 
Nenda zako. Wewe sindiye ulimchongea KabENDERA una utu gani ulionao mmeshajitangazia ushindi wa mauaji bakiani nao tu. Mtakufa vifo vibaya sana.
 
huko Mtwara Mgombea ubunge wa Chadema ana majeraha kibao na ameshafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na vitu hatarishi, kumbuka hatukuyazoea haya !
siasa sio uadui acheni kuwapelekesha kwa kesi maana hata kama ni kweli itaonekana ni sababu za kisiasa tu
 
Ile clip haina ukweli, polisi wasingeacha kitu kama kile kifanyike. Wala hakuna namba ya askari au sura aliyemshika yule mama iliyoonekana.
 
I'm also on my way to leave this land of thugs, whose "boss" is barbaric and embracing thuggery.
Wewe ni wa chama gani: sina uhakika kama chama cha hao waliopanga kukimbia nchi ili kupata sympathy ya kimataifa kinawapa wanachama wake amani na demokrasia ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…