Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

Kwamba hayo aloandika kumuhusu Lissu hayako sahihi????

Labda nikuulize, wewe ni RC au DC au DAS au DED ,?

Mbona unatunisha misuli sana na mume wenu kasema Hatowabadili waliopo???.

Jamaa amin nakuambia, Kama umesoma lkn elim yako inakufanya usione Ukweli na uhuru aa mambo yalivyo basi tambua ELIMU YAKO HAIJAKUSAIDIA KITU CHOCHOTE.
😎
 
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.

Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?

Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.

Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?

Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?

Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.

Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganwi kitoto.

Nota bene : kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covud-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Hao mliowaua, hakuna wakati walionekana wapo huru.

Tundu aliyishiwa kwanza, baadaye mkampiga risasi kweli. Ben Saanane alitishiwa kwanza, baadaye mkampoteza. Azory alitishiwa kwa kufichua mauaji yanayofanywa na polisi, baadaye mkampoteza.

Inaonekana mnaumia sana kwa kukosa wa kumshindilia risasi.

Lema, Mungu akulinde. Shetani anasikitika kwa kuikosa damu yako.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada nalogoff.
 
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.

Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?

Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.

Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?

Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?

Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.

Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganwi kitoto.

Nota bene : kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covud-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Umenifurahisha ulipoandika kuwa wameshindwa kwenye box la kura! Bahati nzuri wengi wetu humu tunamwamini Mungu na Mungu anajua kilichopo kwenye nafsi zetu
 
Ukiukwaji ni mkubwa sanaa. Kuanzia mchakato wa uchaguzi mpaka kufikia ccm inatafuta wabunge wa chadema vitu maalum kwa tochii ili kuleta taswira ya bunge la jmt hulioni hilo ? Hii aibu mtaibeba nyiee mileleee
 
Kwani msipowapeleka kuna impact gani?
 
Mkuu chagu wa malunde, bora useme wewe, tukisema sisi tunaishia kuitwa makada, lakini kiukweli baadhi ya hawa jamaa zetu, kichwani, sio wazima kabisa!.

P
Kwa hapa jukwaani, kati ya watu ambao tayari ni mentally crippled, wewe huwezi kukosekana kwenye hiyo orodha.
 
Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwende nje kuwa wakimbizi.
Mkuu, ni vyema ukajitafakari halafu uamue aidha ukae kimya au uuseme ukweli wa moyo wako. Hii Dunia tunapita tu. Huenda unatetea maslahi ya tumbo lako, si vibaya Ila ukumbuke wengine wameachana na tumbo, wanatetea roho zao.
 
Mara mnataka kuifuta CHADEMA mara mnalazimisha iwapeleke wabunge wa viti maalum hiv hata mnajua mnataka nini kweli 😀
 
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.

Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?

Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.

Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?

Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?

Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.

Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganwi kitoto.

Nota bene : kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Ukweli huwa unajidhihilisha hata Kama utachelewa, Kama ni waongo hawajatishiwa ni suala la muda tuu,
 
Kwa hiyo nani anataka uteuzi. Mtu akitoa maoni tu ni kutaka uteuzi. Tumia akili, we unadhani kila mtu ni kama wewe.
hisia za kupenda Chama chako zimekuharibu

Wanaanza kukimbia viongozi,wanachama wanafatia,tuko pamoja nao

Sasa tuone mkae peke enu hapa Tanzania,..

We kwani unafikiri hayo unayoyasikia makundi ya kigaidi yalianzaje?!!

Tafakari
 
Mkuu chagu wa malunde, bora useme wewe, tukisema sisi tunaishia kuitwa makada, lakini kiukweli baadhi ya hawa jamaa zetu, kichwani, sio wazima kabisa!.

P
Nenda zako. Wewe sindiye ulimchongea KabENDERA una utu gani ulionao mmeshajitangazia ushindi wa mauaji bakiani nao tu. Mtakufa vifo vibaya sana.
 
huko Mtwara Mgombea ubunge wa Chadema ana majeraha kibao na ameshafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na vitu hatarishi, kumbuka hatukuyazoea haya !
siasa sio uadui acheni kuwapelekesha kwa kesi maana hata kama ni kweli itaonekana ni sababu za kisiasa tu
 
Unatengeneza clip ambayo maaskari polis wakionekana humo kwa utambulisho wa sura na namba zao za kazi. Halafu polis hawa wa kwetu wenye inteligensia kali ya kunasa wakuaje hivi hivi? Kweli akili za mafiem anajua tuzitwist yule bwana anayeitwa Harakaharaka wa pale Lumumba. Kuweni na hata chembe ya iabu basi, kwani hamjaridhika tu na huo wizi wa kura? Mnataka nini zaidi? Sasa kama mtu anaondoka na kukuacha utawale bado kuna shida?
Ile clip haina ukweli, polisi wasingeacha kitu kama kile kifanyike. Wala hakuna namba ya askari au sura aliyemshika yule mama iliyoonekana.
 
I'm also on my way to leave this land of thugs, whose "boss" is barbaric and embracing thuggery.
Wewe ni wa chama gani: sina uhakika kama chama cha hao waliopanga kukimbia nchi ili kupata sympathy ya kimataifa kinawapa wanachama wake amani na demokrasia ya kweli
 
Back
Top Bottom