Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
Toka PM Pinda aliposema "liwalo na liwe" tumeona/tutaona na kusikia mengi.
Mpaka siku atakapo 'counter' hiyo vile and fatal motto, hapatakuwa na kufuata sheria bila shuruti. Maana kama wao wasivyojali kadhalika wananchi nao wameanza kureact kwa kutojali huko.