GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Katibu wa Chama cha Chadema Dkt Slaa asema Chadema hakipo tayari kuzungumza na IGP kutokana na tume iliyoundwa na IGP.Amelitaka pia jeshi la polisi Liwaachie majeruhi wote walio korokoroni na Kama ni mazungumzo Chadema kitazungumza kwenye tume itakayoundwa na mahakama.Yote haya ni ktk kikao kilichoitishwa na Jeshi la polisi/chama cha waandishi wa habari na chama cha Chadema.
Chanzo-Capital Radio.
Ningependa kupata usahihi wa taarifa hii na kama ni kweli basi maneno ya Sitta juu ya slaa yanazidi kupata nguvu. Hivi uliona wapi mahakama ikaunda tume? hii sheria ya wapi ? masuala ya tume ni ya watendaji ambao ni serikali na si mahakama. Duh kweli babu sasa anaanza kuzeeka vibaya na ukiona mtu anatoa maneno hata yasiyo eleweka ujue ndio anafikia kikomo