Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,162
- 9,192
Arevyou also a FOOL?
Who knows? Who knows it might be you? But I can't urge with a fool!
Arevyou also a FOOL?
kila kitu kinaonyesha kuwa mwandishi alikua amekwenda kuwa confront askari.
Hapo ndo nashangaa,alikua pale kuripoti matukio au alikua pale kama mwanaharakati wa chadema.
Wakati hadi viongozi wa chadema waliokuwepo hapo wakijiweka mbali,yeye akawafuata askari.
Kwa hali iliyokuwepo hapo kitendo chake kingeweza kutafsiriwa na askari kama hostile move na inawezekana askari walihisi threatened,katika nyakati hizi za watu kujivika mabomu ya kiunoni anything can happen.
It is un-speakable. Hakuna mtu mwenye akili anaweza fikiri yule mwandishi alikuwa anajaribu kupigana na kundi lote lile lililomzunguka. Lazima alikuwa anaomba wasimuue. Jamani inauma sana hii. Kwakweli asiyeguswa na hii then sijui tumueleweje. Ni rahisi zaidi kusikia habari kuliko kuona picha. So painful!
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.
Sipati picha kama IGP angekuwa bado ni mahita...huyo mwema mwanadiplomasia sana ukilinganisha na enzi za ngunguli.
Elungata hilo silikubali maana jamaa alikua ameshatiwa nguvuni na hakuwa na madhara kwa hao wachache. Kumbuka polisi aliyejeruhiwa vibaya alikua anasema huyu ni mwandishi wa habari wakati alipokua anapewa kichapo kabla ya mauti kumkuta. Nasema jamani siasa ziwekwe pembeni katika uhalisia.
mi sijaelewa kwanini mwandishi wa habari ateswe vile? kama mwandishi kapigwa vile hivi mtu wa kawaida itakuaje?
kila kitu kinaonyesha kuwa mwandishi alikua amekwenda kuwa confront askari.
Hapo ndo nashangaa,alikua pale kuripoti matukio au alikua pale kama mwanaharakati wa chadema.
Wakati hadi viongozi wa chadema waliokuwepo hapo wakijiweka mbali,yeye akawafuata askari.
Kwa hali iliyokuwepo hapo kitendo chake kingeweza kutafsiriwa na askari kama hostile move na inawezekana askari walihisi threatened,katika nyakati hizi za watu kujivika mabomu ya kiunoni anything can happen.
Ww un imani nalo?Tumaini Makene,
Mbona unaripoti habari kienyeji hivyo...vipi tena Dr.Slaa si alisema hawezi tena kukaa meza moja na jeshi la polisi hana imani nalo.
Your brain is rotten kama wa nguruweMwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.
Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.
mkuu, waziri mwenyewe huyo ana uchu na uroho wa madaraka isitoshe anatumika vibaya na CCM, aidha ana ndoto za kuwa rais 2015 waulize waliosoma naye idm mzumbe enzi hizoNi aibu eti mpaka sasa waziri mwenye dhamana na usalama wa raia hajasema chochote kuhusiana na mauaji hayo,kazi kujipendekeza kwa mafisadi na dhaifu aendelee kuwepo serikalini hii na ijayo. Jitokeze utoe tamko kulaani policcm usione aibu
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.
Your brain is rotten kama wa nguruwe
Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.
Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.