Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Majadiliano ndani ya kikao yamekwendaje wakuu? Tunahitaji mrejesho kama tulivyo pata taarifa ya awali.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Naona askari umewashindwa na wanaonekana mitaa yote, nami ni mmoja wao, mlinzi shirikishi, njoo mtaa wa Livingstone na Mafia, Dar., ulizia Mzee Zomba utanikuta, kijiwe kinaitwa Gogovivu.
Nilijua tu utakuwa unakaa hiyo mitaa ya wajinga.
 
Wana Iringa wamemruhusuje Mwema kukanyaga ardhi ya Iringa? that dude is a disgrace to democracy... he iz suppossed to step down immediately
 
Nilijua tu utakuwa unakaa hiyo mitaa ya wajinga.

Mtaa huo wa Livingstone kisha kaa Mkapa, na Kisha kaa Mwinyi, na ukitoka Livingstone mtaa wa pili tu, unaitwa Sikukuu, kisha kaa Nyerere na hapo hapo Sikuukuu, kuna club inaitwa Saigon ndio kijiwe cha Kikwete enzi hizo, hao ni baadhi ya aina ya watu tulio Kariakoo, na upatikanaji wa madaraka ya nchi hii ulianzishwa harakati zake hapo hapo Kariakoo.

Ikiwa wote hao wajinga, basi wewe ni mjanja sana, karibu Kariakoo.
 
Hivi camera ya marehemu, nani aliichukua? Mkanada wake unaweza kuwa na maana kubwa sana
humjui? Ni aliyewatuma kufanya mauaji raisi na jeshi lake la kua raia wema tena wasio na hatia
 
Kikao mi mhimu sana kwa hali ya sasa na ya baadae ya usalama wa raia na majukum ya polisi. maana kukiwa na mkutano wa CDM polisi majukum huwa yanabadilika.
 
Mkuu nina feeling kwamba wengi humu jamii farums hamkusikiliza WAPO radio 98.0 FM. Kila siku saa moja na dakika 20 wana kipindi cha matukio asubuhi na jioni muda huo huo. I am not trying to sell them, ila wanajitahidi sana kutafuta wahusika halisi wa matukio. Hapa natoa kile nilichokisikia kutoka kwa DEREVA ALIYEKODIWA NA WAANDISHI WA HABARI kuwapeleka kwenye eneo la tukio (ndimo alimokuwamo marehemu). Dereva huyo amejitambulisha kama John Joseph.

Kwanza kabisa ameanza kwa kusema AMESHUHUDIA KWA MACHO YAKE TUKIO HILI MWANZO HADI KIFO CHA MAREHEMU. Wakati kikao cha ndani kinaendelea ghafla zikafika defender nne za FFU akiwapo OCD. OCD baada ya kuzungumza na viongozi wa CHADEMA na kumweleza kuwa hakuna mkutano wa hadhara akakubali waendelee, FFU wakawa nje. Mara akatokea RPC na gari lake. Yeye alipofika akasema NI AMRI TAWANYIKENI. Wananchi waliokuwapo nje ya ofisi WAKAJISALIMISHA KWA KUKAA CHINI NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. Lakini hiyo isitoshe mabomu ya machozi yakaanza kumiminika kama mvua hovyo hovyo. Waandishi wakarudi kwenye gari lao. Ndipo polisi wakamdaka mwandishi mmoja na kuanza kumpa kipigo kikali. Kuona hivyo, marehumu akashuka kwenye gari akakimbilia kwa RPC aliyekuwa garini akaanza kugonga kioo cha gari kumsihi RPC afungue kioo. RPC akafungua kidogo tu na marehemu akaanza kumsihi kuwa yule waliyemkamata si mfuasi wa CHADEMA bali ni mwandishi wa habari. RPC akamtazama marehemu kwa dharau halafu askari wengine wakamdaka.Ndipo RPC akamgeukia askari mmoja "na kumwambia BOMU". Mara moja ukasikika mlipuko wa kutisha na marehemu akadondoka hapo hapo. Maaskari wengine wakalifuata gari la huyu mr. Joseph na kuanza kuligonga gonga, akalazimika kuondoka kwa kasi sana eneo la tukio kujinusuru.


Habari hii mliosikiliza wapo mtakuwa mmeisikia laivu kuto kwa dereva mwenyewe. Yaani bila kuumauma maneno kasema alimsikia RPC akitamka BOMU kabla ya huo mlipuko kutokea. Hebu sasa fanyeni MAGAZIJUTO!

Kwahiyo RPC ndio ametoa amri ya kuuwa?
 
Polisi wengi tunaishi nao uswahili na sisi tutaanza kula nao sahani moja kwa kuwafanyia unyama. Ni kuwatembezea kipigo cha nguvu mpaka kifo.
 
Mkuu I agree. And I hate to say this lakini as I see it; bila kulipiza kisasi kama mmoja alivyo-propose hapo juu, hii nchi haibadiliki. Wamesha-push us to the limit now; they have left no option zaidi yakuwashughulikia wao (polisi) individually bila kutazama utawala wa sheria. Haijalishi wanatumwa na nani- hata wezi au majambazi wengine wanatumwaga pia. Askari wana-utashi wao wakutambua wapi hawatakiwi ku-cross the line. I know this is not wright; lakini kwa Tanzania ilivyofika sasa sidhani kama kuna option nyingine kwa wananchi. I do not care about politics, i do not care what CDM,CCM,Police will come up with -sina imani kabisa kama watakachokubaliana kita-work. Mbona madaktari walikubaliana na Ikulu then what happened to Ulimboka? Kinachotakiwa sasa nikuwashughulikia hawa askari walioonekana kwenye picha kama majambazi wanavyoshughulikiwa kwakuchomwa moto. Sorry guys I see no other option. Tumeshaongea sana sasa.

Mkuu I really give you my hands to support you 100% no matter what happens kwenye mazungumzo yao but sisi wananchi pia have show up to let the world know what's happening in our land. Syria hawakuanza na mauaji ya watu 100 walianza na mmoja mmoja na baadae things got up, sidhani kama kuna kitu chochote hakijafanyika mpaka sasa mwenye nacho aseme na haya mazungumzo will come out with nothing as usual the killings will stay on until wananchi tusimame kupigania haki yetu ya kuishi na tusichukulie kuwa nani amekufa maana no one knows who's next it might be you maana hata mwandishi huyu hakujua kama ilikuwa zamu yake kuuawa na polisi aliendelea na kazi yake mpaka mwisho alipokuwa analilia uhai wake mbele ya wale wauaji. Nadhani pia polisi they have put in their minds that killing is one of their job when it's directed so na hakuna anaejali si SERIKALI, si CCM wenye serikali, si CHADEMA maana nao I don't see them taking serious actions to stop the killings pamoja na kwamba wao ndo wanaadhirika zaidi pamoja na wananchi na wala si CUF, TLP, UDP etc.
Wananchi pekee tukiamua tunaweza kusimamisha mauaji haya it takes all of us to say NO NO NO NO the killings of our brothers and sisters. Wanaharakati wako wapi? au nao mpaka kwenye migomo ndo tuwasikie? na hao TUME YA HAKI ZA BINADAMU YA TANZANIA walienda LIKIZO ya muda gani? MATERNITY?
 
Aliyemuua Mwandishi wa Habari ni Raia wa Kenya... Kover
 
Mtaa huo wa Livingstone kisha kaa Mkapa, na Kisha kaa Mwinyi, na ukitoka Livingstone mtaa wa pili tu, unaitwa Sikukuu, kisha kaa Nyerere na hapo hapo Sikuukuu, kuna club inaitwa Saigon ndio kijiwe cha Kikwete enzi hizo, hao ni baadhi ya aina ya watu tulio Kariakoo, na upatikanaji wa madaraka ya nchi hii ulianzishwa harakati zake hapo hapo Kariakoo.

Ikiwa wote hao wajinga, basi wewe ni mjanja sana, karibu Kariakoo.
Vp leo umekula kiasi cha gani cha nguruwe?
 
Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.

Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.

Jaji mihayo ameulizwa km sheria zinaruhusu jesh la polis kushtakiwa, amesema inahusiwa na amewasii wanasheria wajitokeze kuisaidia familia kulishtaki jeshi la polisi

zombie, hawako juu ya sheria. Ushahidi wa picha na waliokuwepo uko wazi sana.
 
Mtaa huo wa Livingstone kisha kaa Mkapa, na Kisha kaa Mwinyi, na ukitoka Livingstone mtaa wa pili tu, unaitwa Sikukuu, kisha kaa Nyerere na hapo hapo Sikuukuu, kuna club inaitwa Saigon ndio kijiwe cha Kikwete enzi hizo, hao ni baadhi ya aina ya watu tulio Kariakoo, na upatikanaji wa madaraka ya nchi hii ulianzishwa harakati zake hapo hapo Kariakoo.

Ikiwa wote hao wajinga, basi wewe ni mjanja sana, karibu Kariakoo.
hivi wewe bibi yako ndie aliyemchawia Ndugu yetu Maneno mkamtupia chango imemtesa hadi Kavuta enh!
 
Ningependa kupata usahihi wa taarifa hii na kama ni kweli basi maneno ya Sitta juu ya slaa yanazidi kupata nguvu. Hivi uliona wapi mahakama ikaunda tume? hii sheria ya wapi ? masuala ya tume ni ya watendaji ambao ni serikali na si mahakama. Duh kweli babu sasa anaanza kuzeeka vibaya na ukiona mtu anatoa maneno hata yasiyo eleweka ujue ndio anafikia kikomo

Wewe ni chizi...maamuma.....
 
Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.

Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.

Mkuu mbona unapongana na taarifa ya awali ya polisi???
 
Back
Top Bottom