Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Toka PM Pinda aliposema "liwalo na liwe" tumeona/tutaona na kusikia mengi.

Mpaka siku atakapo 'counter' hiyo vile and fatal motto, hapatakuwa na kufuata sheria bila shuruti. Maana kama wao wasivyojali kadhalika wananchi nao wameanza kureact kwa kutojali huko.
 

Despicable!

Mods humu humu jamvini mwaweza sababisha genocide! Please take some serious note, if you can.
 
zomba kwa njia yoyote lazima nikutafute iwe leo, kesho au wakati wowote. NITAKUTAFUTA keep on mind broda!
 
Last edited by a moderator:
kwa nn usiandike kwa kiswahili tu, hapo juu ni aibu tupu, hicho siyo kiingereza ndugu!
 


.."Liwalo na Liwe"..

TUONGEZE MAOMBI NA SALA
 
Said mwema na jeshi la polisi siku zote wana majibu mepesi ktk maswali magumu, subiri tuone..

Mkuu I agree. And I hate to say this lakini as I see it; bila kulipiza kisasi kama mmoja alivyo-propose hapo juu, hii nchi haibadiliki. Wamesha-push us to the limit now; they have left no option zaidi yakuwashughulikia wao (polisi) individually bila kutazama utawala wa sheria. Haijalishi wanatumwa na nani- hata wezi au majambazi wengine wanatumwaga pia. Askari wana-utashi wao wakutambua wapi hawatakiwi ku-cross the line. I know this is not wright; lakini kwa Tanzania ilivyofika sasa sidhani kama kuna option nyingine kwa wananchi. I do not care about politics, i do not care what CDM,CCM,Police will come up with -sina imani kabisa kama watakachokubaliana kita-work. Mbona madaktari walikubaliana na Ikulu then what happened to Ulimboka? Kinachotakiwa sasa nikuwashughulikia hawa askari walioonekana kwenye picha kama majambazi wanavyoshughulikiwa kwakuchomwa moto. Sorry guys I see no other option. Tumeshaongea sana sasa.
 
Dr. Slaa na CDM kwa ujumla tunataka baada ya hapo mtoe tamko kama vipi tuanze kupambana wenyewe

Noboka, umenena Vizuri sana!!!! Big up. Hawa CCM na Polisi sasa wamezidi.

Watanzania tuache uogaaaa

Sasa tuanze na hawa Polisi, tunaishi nao mitaani, tunakunywa nao baa, wamepanga nyumba mitaani, wanatongoza dada zetu, wana magirl friend, wana mahawara.

Tuanze kuwafanyie kweli hawa Polisi, so polisi wakiona action za hasira, wataacha kupokea amri za kipuuzi kutoka CCM.

Wananchi tuache woga, tuwaonyeshe Polisi sasa kuwa uvumilivu kwisha. Watanzania sio wanyonge....
 

It is un-speakable. Hakuna mtu mwenye akili anaweza fikiri yule mwandishi alikuwa anajaribu kupigana na kundi lote lile lililomzunguka. Lazima alikuwa anaomba wasimuue. Jamani inauma sana hii. Kwakweli asiyeguswa na hii then sijui tumueleweje. Ni rahisi zaidi kusikia habari kuliko kuona picha. So painful!
 
kwa nn usiandike kwa kiswahili tu, hapo juu ni aibu tupu, hicho siyo kiingereza ndugu!


..dah ! Yani sikutaka cheka hata kidogo ktk hzi nyuzi zinazo mhusu DAUDI.. Ila hapa nimeshndwa jizuia..

..tih tih..

TUZIDISHE MAOMBI NA SALA
 
Said mwema na jeshi la polisi siku zote wana majibu mepesi ktk maswali magumu, subiri tuone..

Baada ya mazungumzo chadema waitishe LIVE press conference kama wafanyavyo katika fund raising za M4C. HAWA POLICE WASHENZI SANA!
 

Wamezoea kutudanganya kama watoto, inauma jamani aaagh!
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.


Nilijua tu cdm kwa hili lazima wawajibike na wasa rende kwani lazima babu slaa utasikia jioni akisema tumekubaliana na maamuzi ya polisi na serikali
 
All is said in your signature Mkuu, ''Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)''.Letz wait and see!
 
waunda timu ya makubaliano juu ya harakati za chadema.
Chadema wakubali kusitisha kwa muda vuguvugu la mabadiliko ili kupisha sensa na msiba wa mwandishi.
Note:MAZUNGUMZO HAYA HAYAHUSIANI NA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MWANDISHI

Source:ITV
 
Katibu wa Chama cha Chadema Dkt Slaa asema Chadema hakipo tayari kuzungumza na IGP kutokana na tume iliyoundwa na IGP.Amelitaka pia jeshi la polisi Liwaachie majeruhi wote walio korokoroni na Kama ni mazungumzo Chadema kitazungumza kwenye tume itakayoundwa na mahakama.Yote haya ni ktk kikao kilichoitishwa na Jeshi la polisi/chama cha waandishi wa habari na chama cha Chadema.

Chanzo-Capital Radio.
 
Baada ya mazungumzo chadema waitishe LIVE press conference kama wafanyavyo katika fund raising za M4C. HAWA POLICE WASHENZI SANA!



Chanzo cha vifo vyote hivi ni kwa cdm kutofuata sheria na taratibu za maandamano + mikutano, na hii ndio imekuwa weak point kubwa ya cdm siku zote, hakuna haja yakuua watu kwa kujitafutia mtaji wa kisiasa
 
Sipati picha kama IGP angekuwa bado ni mahita...huyo mwema mwanadiplomasia sana ukilinganisha na enzi za ngunguli.
 
bahati mbaya marehemu hatatoa utetezi wake.

mkuu umesahau Dr. Ulimboka tulimwombea apone haraka aje atoe ukweli wa aliyemvunja meno na kumng'oa kucha kwa praizi, alivyopona ameongea lolote la maana zaidi ya blabla.!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…