Wanatakiwa waendelee kubaki huko hao wa kike wameshatolewa inatosha. Maandalizi ya uchaguzi mkuu ni pamoja na tume huru ya uchaguzi.Kuelekea maandalizi ya uchaguzi mkuu tunawahitaji hao viongozi kujiunga na viongozi wa vyama vinginevyo vya kweli vya upinzani kuanza maandalizi ya uchaguzi mkuu.
No one knows tomorrow.
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.
Mbona wameweza kutoa pesa zote hizo kama ni cowardice kihivyo? Hiyo energy inaweza kuwa “channeled” kivingine tu mkuu. Hivi uliona wananchi pale Kisutu walivyovimba na hao policcm?
Mbona wameweza kutoa pesa zote hizo kama ni cowardice kihivyo? Hiyo energy inaweza kuwa “channeled” kivingine tu mkuu. Hivi uliona wananchi pale Kisutu walivyovimba na hao policcm?
Wewe acha upumbavu,hao wanatolewa na wananchi, wao walikuwa tayali kwa lolote, soma taarifa uelewe.Unadhan wana ubavu huo? Zile mbwembwe za siogopi jela ni hadithi tu usije ukawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana Chadema pamoja na Watz wote mlioguswa kwa namna moja au nyingine. Mungu awatangulie ktk mapambano haya. Ushindi umenukia.Hivi ninavyo andika hii post tayari 234 million tushachanga kuwanusuru wapigania uhuru wetu. View attachment 1384312
No one knows tomorrow.
Achana na hilo bwabwaWewe acha upumbavu,hao wanatolewa na wananchi, wao walikuwa tayali kwa lolote, soma taarifa uelewe.
ruzuku hiyo"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.
"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
acha uongo nani anapenda kuishi jela? hizo Pesa za ruzuku hazina gap la kuzibiaWewe acha upumbavu,hao wanatolewa na wananchi, wao walikuwa tayali kwa lolote, soma taarifa uelewe.
Kumbe watu mkivimbewa maharage ya jana mnaweka akili mfukoni!!!Mitano inatosha kabisa! Mi nawashangaa wanataka nini kuchomoka mapema kama wanaamini kwamba wao ni wafungwa wa kisiasa? Wabaki huko na Mandela alibaki huko miaka 27.
Hoja hujibiwa kwa Hoja punda weweRais huwa hafuati ushauri wa muda bar kama wewe.kadange huko huko
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app