Viongozi wa CHADEMA walioko gerezani waachiwe mara moja bila masharti

Yuda kachomolewa siyo!!
Ilikuwa ni mpango wao. Lakini mipango yote ovu ya ccm imefikia mwisho wake. Yote ina bacfire! “Chicken has come home to roost”
 
Wewe acha upumbavu,hao wanatolewa na wananchi, wao walikuwa tayali kwa lolote, soma taarifa uelewe.
Hata pale Kisutu walifanya kuwatuliza. Siyo hulka ya binadamu kutokuwa huru. Hata umpe pilau kuku kila siku, bila uhuru atakuja kutoroka tu. Kama ilivyo kwa wale Tai, ambao wanapenda sana nyama lakini na uhuru wao pia.
 
Hacha ujinga wako bwabwa wewe, sasa jiue kama inakuhuma, hawa ni viongozi walodumu na watanzania kt mapambano japo walishawishiwa kwa hongo za ccm, tunawataka uku nje ktk harakati za kumuondoa mkoloni mweusi
Si ndo hapo wao miezi mitano tu kelele kibao huku mtaani wakae tu humo tupunguze na kelele za peoplez huku mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, kwa akili yako unadhani wanachama wote wa chadema wanauwezo wa kutoa michango yao ya fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, kwa akili yako unadhani wanachama wote wa chadema wanauwezo wa kutoa michango yao ya fedha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wananchi wakiamuwa kuna atakayewazuia? Kwanza viongozi wa chadema kwa maoni yangu wana busara sana. Waendelee kuwashikilia ndo watajua kama hicho chama kimekufa au bado.

Tunataka siasa za ushindani siyo kurudi nyuma kama ukoloni
 
Mashinji amelipiwa na ccm na si wananchi wa Dar kama wanavyojaribu kutughiribu! Mwenye ushahidi wa wananchi wa Dar kuchanga kwaajili ya Mashinji, auweke hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kuwazuia wakiamua. Ila hawajaamua kwa sababu wengine hawana Pesa za kuwafanya waaamue.
Kwani wananchi wakiamuwa kuna atakayewazuia? Kwanza viongozi wa chadema kwa maoni yangu wana busara sana. Waendelee kuwashikilia ndo watajua kama hicho chama kimekufa au bado.

Tunataka siasa za ushindani siyo kurudi nyuma kama ukoloni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo lako ni zuri ila hawa jamaa walioshika hatamu awamu hii amini nakwambia ni wakatili mno na kulinda madaraka yao wao wanatumia gharama zozote hata kama ni uhai na ulemavu wa watu hao. Kama inawezekana kuwatoa basi hilo ni la kufanyika haraka mno sababu ni adhabu waliyopewa sio yao na waliowahukumu wanataka kuwaumiza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…