Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

Uwezo wa usrael na Mosad yao is over rated kupitia western propaganda, sasa hivi zaidi ya mwezi mzima wameshindwa kuokoa mateka wao uko Gaza, sehemu sawa sawa na mkoa wa pwani. Af ndo waweze kusaka hao viongozi ambao wako huru na uwezo wa kifedha
Watu mnajizimaga data humu.
 
Mkuu upo?
 
sehemu pekee salama kwao ni aidha kaburini au kwa mbaaali Uturuki. ila pia, uturuki sio salama kwasababu ina watalii wengi sana na ni mchanganyiko na wamagharibi sana, uturuki hamna waislam wazandiki, ni waislam wasio na tofauti na makafiri ya ulaya kwa kuvaa na kwa kitamaduni. ni rahisi mosad kwenda na kuishi huko wakiwatafuta wahusika kuwapiga na kujichanganya bila hata kujulikana. uturuki pia kuna wakurdi kibao ambao israel inaweza kuwatumia. mosad wapo tayari hata kutumia adui yako kukamilisha wanachotaka.
 
Yaani watu wanapambania taifa lao unawaita vibaraka kweli ukishakuwa punguani na akili zinahama.
wamesababisha wapalestina wafe huku wao wamejificha huko uturuki , na waislam mnawaona waturuki wapo sahihi , kama wanajali afya zao kwann hawajali afya za wapalestina , wanawatoa wapalestina kafara lwa faid ya uturuki na iran sio ?
 
Uwezo wa usrael na Mosad yao is over rated kupitia western propaganda, sasa hivi zaidi ya mwezi mzima wameshindwa kuokoa mateka wao uko Gaza, sehemu sawa sawa na mkoa wa pwani. Af ndo waweze kusaka hao viongozi ambao wako huru na uwezo wa kifedha
Ustaazi vipi?! Bado mossad ni overrated?
 
Uwezo wa usrael na Mosad yao is over rated kupitia western propaganda, sasa hivi zaidi ya mwezi mzima wameshindwa kuokoa mateka wao uko Gaza, sehemu sawa sawa na mkoa wa pwani. Af ndo waweze kusaka hao viongozi ambao wako huru na uwezo wa kifedha

Njoo kula matapishi yako.
 
Bila October 07 hawa Magaidi wa Hamas wangeendelea kunywa Kahawa Qatar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…