Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mbona majuzi kati hapo Mwamba aliwaambia wazi kwamba Magaidi watafuatiliwa popote walipo?? Ninachojiuliza ni kwa nini wanaambiwaga halafu lakini hawahangaiki wala hawajishughulishi hata kidogo walau kuchukua tahadhari ilhali wanajua kwamba wamewahifadhi magaidi hapo kwao. Hawajaamini bado kwamba Mwamba hanaga Utani?Ngoja tuone kama atalipiza kisasi ndani au atatafuta uchokozi kwa nchi zingine. Maana hapo ili alipe yatakiwa alipize ndani ya Israel, nje ya Israel hawezi maana atajiongezea maadui.
Hapo atachofanya ni kuongeza silaha.
Ila hii wiki imekuwa ya moto sana IAF haipoi

.