Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja, leo MP wote wakae lindoni kuhakikisha uwanja wa Meja Isamuyo hauchafuliwi.
Leo watake wasitake ngoma lazima ieleweke, Ubaya Ubwela.
Leo watake wasitake ngoma lazima ieleweke, Ubaya Ubwela.