Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Hii mechi ni Ngumu mno.
Simba wameweka mzigo mzito yanga apigike.
Naona timu zikigawana point 0-0
Ngoja tusubiri dk 90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi ni Ngumu mno.
Simba wameweka mzigo mzito yanga apigike.
Naona timu zikigawana point 0-0
Ngoja tusubiri dk 90.
Mwenzangu wa ubaya ubwela,usirudie kula wali halafu na k vant.Hapa tunamalizia kula wali nyama choma na mbuzi tunashushia na k vant ...unateseka ukiwa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaya ubwela
Biya biya...
Hii umejenga wewe mkuu?Kwamba JKT wana timu nzuri kuliko YANGA?
Kwamba yanga wana wachezaji wabovu na dhaifu kuliko jkt ?
Kwamba yanga ili wamfunge jkt lazima waloge?View attachment 3231701
Mwenyewe nashangaa simuoni siku hizi wakati ni kapteniBaada ya kushindwa mbinu yao ya kudai watamsajili kipa wa JKT ili awaachie kama walivyomdanganya yule beki Laurence Makame wa Fountain, Utopolo wamemponza kijana wa watu siku hizi anakula mkeka na ukapteni wake
Jibu umelipataKwamba JKT wana timu nzuri kuliko YANGA?
Kwamba yanga wana wachezaji wabovu na dhaifu kuliko jkt ?
Kwamba yanga ili wamfunge jkt lazima waloge?View attachment 3231701
Teh teh teh.🤣🤣🤣Saa 12 jioni utapata majibu yako. Inaitwa YANGA.
DuuuuHii mechi ni Ngumu mno.
Simba wameweka mzigo mzito yanga apigike.
Naona timu zikigawana point 0-0
Ngoja tusubiri dk 90.
Kumbeee!!atafungwa JKT Tanzania na shoga yake.period
Gusa achia kileleniSaa 12 jioni utapata majibu yako. Inaitwa YANGA.
HatimaeKwamba JKT wana timu nzuri kuliko Yanga?
Kwamba Yanga wana wachezaji wabovu na dhaifu kuliko jkt ?
Kwamba yanga ili wamfunge JKT lazima waloge?View attachment 3231701