PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.

Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!

Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
 
Majitu yaliyokosa shule bhana.

Hiyo kauli yake mpaka sasa ni ushaidi tosha kwa lolote baya litakalowakuta mapadri wetu.

Hawa wapumbav wanahisi wanamsaidia samiya kumbe ndio wanamuandalia matatizo na wao wenyewe pia bila kujua.

Eti "tunasubiri kauli tu kutoka kwa viongozi wetu" ngoja tuone watafanya nini na TEC kamwe haiwezi kuacha kuisemea jamii.
 
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.

Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!

Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Mamlaka haiwezi kuchukua hatua hiyo, na hiyo chama laghai kama CCM wanachekelea, maana wanahamisha pressure. Ila kisirisiri watawaambia fanyeni pole pole na kimya kimya. Ila utekaji utaendela kuwa mkubwa kwa sababu upande mmoja unaona sawa na wengine wanauma.

UShindi kwa Simba Jike, na mwananchi wakawaida -mpotezaji
 
CCM, ilipandikiza watu wengi sana kwenye dini zote, hii ni furusa kwao pindi mambo yanapokwenda kinyume na watakavyo wao

Na kwa wakati kama huu, CCM, wanaamua kutumia viongozi wao wa dini ili wao wawe salama

Na hili sasa tumeishalifahamu, hawatusumbui tena,

Nyinyi viongozi wetu wa dini, kuleni sadaka zetu tu, ila kuhusu mambo ya msingi yanayohusu Nchi yetu, bora mkae kwa kutulia, mtasikilizwa?
 
Back
Top Bottom