Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.