PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Qur’an 9:33

“Yeye ndiye aliyemtuma Mtume Wake kwa mwongozo na dini ya haki ili ishinde dini zote…”
Uislam unazingumzia haki kwa kiasi kikubwa masheikh wetu wasipotoshe hkuna muislam mwenye akili timanu na ana elimu ya dini akawasapoti hao wanapotosha
 
Hakuna asiyejua ukweli unauma kwa kiasi gani. Si wajibu wa TEC kubalance shobo, serekali ilishaambiwa toka mwanzo uchaguzi usogezwe mbele ili matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi. Lakini walikuwa na kura zao 31m mkononi za kubumba.

Sasa umma umegoma ndio wanaokota matepeli wanaojifanya waisilamu. Uzuri TEC hawajibizani na wajinga, wanasikilizia milio tu baada ya kuweka ukweli hadharani.
Yaani wacenge wawili waseme uchaguzi upelekwe mbele na tukubali!?
 
Yule aliyeongea mwisho mpaka mishipa inamtoka, majasho na hasira zimejaaa aaah!!
Hoja hana zaidi ya vitisho, TEC wamekemea mauaji na vurugu zilizotokea lakini wao wanakemea TEC kwa kukemea mauaji yaliyofanywa na uongozi huu kisa tu samia ni muislamu.
Waliokufa ni waislamu na wakristo hawalioni hilo, Mtu anajiita mhadhiri halafu ana zero self awareness.
 
Waislam kwa wakristo wasivurugane kwa ishu za wanasiasa walafi, hii ngoma isijumuishe wananchi wote. Wanasiasa walafi ni wapumbavu, wameitumbukiza nchi kwenye mdororo na mkwamo wa kisiasa kwa ulafi wao. Wananchi wasimame upande wa haki. TEC wako vizuri wanaisemea jamii nzima bila kujali ukatoliki wao. Laiti jamii ya kiislam nayo ingeungana na TEC mbona mambo yatakuwa shwari tu. TEC si wakurupukaji na hawana udini
 
Hao masheikh mbona wanakuwa washari hivyo? Wamekosa busara na hekima kuwajibu TEC? Kwa nini wana fume flame back wakati wenzao wanazungumzia mustakabali wa jamii nzima ya kitanzania? kwa mila na desturi za kikristo hakuna kiongozi wa kikristo atakayeongea upupu dhidi ya jamii nyingine kama anavyosema huyu sheikh mpuuzi, asiye na elimu hata ya ngumbaru
 
Haya maandamano ya 9d ni sababu samia ni mwisalam. Ila angekuwa mgalatia usingeona mtu road mo29
 
Hao masheikh mbona wanakuwa washari hivyo? Wamekosa busara na hekima kuwajibu TEC? Kwa nini wana fume flame back wakati wenzao wanazungumzia mustakabali wa jamii nzima ya kitanzania? kwa mila na desturi za kikristo hakuna kiongozi wa kikristo atakayeongea upupu dhidi ya jamii nyingine kama anavyosema huyu sheikh mpuuzi, asiye na elimu hata ya ngumbaru
 
Hatuwezi kutulia huku watanganyika wakifa kama kuku, nyie endeleeni kutetea maovu ila Tec wanafwata kila Mungu anataka hatuwezi kuficha maovu hiyo ni kazi ya Shetani, ukiona na wewe upo upande wa maovu ujue umechagua upande wa shetani.
 
Hawa ni wapumbavu wa Samia aliowatuma kujaribu kupandikiza mbegu ya udini.

Uzuri Watanganyika tumeshawakataa na upumbavu wao maana adui wetu sio uislam wala ukristo. Adui wetu ni mpumbavu Samia anayetaka kutuua na kutuangamiza Watanganyika
Uko wapi mkuu? Wewe si ndiye uliyekuwa unahamasisha watu wachome mali za umma na watubinafsi pia kuua watz kabla ya vurugu za tarehe 29/10/2025? Ulikuwa unatoa na mafundisho kabisa jinsi yakufanya huo unyama!!

Hujakamatwa bado na Polisi au ICC?
 
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.

Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!

Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Huyu inawezekana ndio Lucha

Inawezekana huyu ni Lucha yule member aliye shoga humu maana ana mikwara kama hii. Huyu inaonekana hata sisimizi hawezi kuua.

Mwanaume anajichubua alafu anasema yeye ni shehe. Mbona hapo hakuna shehe. Huko nyuma kuna kijamaa hata kubalehe hakajabalehe kamevalishwa kanzu na kenyewe ni Kashehe.

Takataka kabisa.
 
Uko wapi mkuu? Wewe si ndiye uliyekuwa unahamasisha watu wachome mali za umma na watubinafsi pia kuua watz kabla ya vurugu za tarehe 29/10/2025? Ulikuwa unatoa na mafundisho kabisa jinsi yakufanya huo unyama!!

Hujakamatwa bado na Polisi au ICC?
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Back
Top Bottom