Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Hao ni wazanzibar hakuna muislamu wa Bara tunao kubaliana na mauaji ya jamaa zetu, serikali inacho kutengeneza isipo kia makini vita vya kidini vita zuka, yote hiyo tamaa ya madqraka
Hapana hao ni mashekhe ubwabwa tu wakipewa tende na nyama unawaandikia karatasi wakasomeNimewataza namna wanavyozungumza body language niseme tu hao sio mashekhe ni watu wa medani ,watu wa Islamic extremist wanataka kuhamisha vita toka kwa wananchi dhidi ya serikali kuwa waislam dhidi ya wakristo
Kisa madaraka..... Afrika nzima hawa watu wakipata tunguvu tu wanawaza vita, hawapendi amaniImekuwa vita ya dini sasa. Dah! so sad
Hii clipi inatakiwa iwe ndefu
Hukuona mabomu yalipogwa,yalisaidia?..Uhai wa watu na vitu upi bora, si wangetumia washawasha kuzuia uharibifu?
Na waliokuwa nyumbani, na waliokuwa kwenye banda la kuangalia Tv walichoma niniHukuona mabomu yalipogwa,yalisaidia?..
Umehamia kwa waliokua nyumbani sasa!?..Banda la tv wakati wa lock down?Na waliokuwa nyumbani, na waliokuwa kwenye banda la kuangalia Tv walichoma nini
Kiboko ya wachawi Jr.kajichubua
Sasa kuna sheikh hapo.. 😂🤣Kiboko ya wachawi Jr.
Kala na maglass ukimvua ule usongo usikute ana kiduku kakificha.Sasa kuna sheikh hapo.. 😂🤣
Bila shaka umenielewaUmehamia kwa waliokua nyumbani sasa!?..Banda la tv wakati wa lock down?
Unajuwa hatari ilipolala lakini?Yanayotokea nigeria wameshafika level fulani ya threat
Hao hawana, na ni nothing but matisho.
Hawa wanaotisha si hata ajabu oct29 hawakutoka nje, walijifungia ndani.
Talk is cheap, but hawana uwezo huo
Sisemi kwamba waachwe, wa amboni tanga, wale waliachiwa, and before yale matukio they were all talking even gov haku pay attention at that levelUnajuwa hatari ilipolala lakini?
Leo watakuwa wanapayuka wakipima upepo unavyo vuma; kesho itakuwa ni habari nyingine.
Lakini nadhani inabidi nikukumbushe kama kweli wewe ni msahaulifu kiasi hiki unachojaribu kuonyesha hapa.
Unawakumbuka wale wa kwenye mapango ya Amboni, Tanga na wale wa milimani kule Mwanza miaka michache tu iliyopita? Wewe unadhani hao walikuwa wakifanya michezo tu au?
Nikueleze wazi, kama Samia atakaa hapo alipo hata miaka miwili tu ijayo, tutakuwa tunazungumza lugha tofauti kabisa na hii tunayotumia sasa hivi.