Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Wametumwa hao
Ni masheikh wa kimkakati
Ni masheikh wa kimkakati
... mwiba hutokea ulipoingilia!Imekuwa vita ya dini sasa. Dah! so sad
Huyu sio sheheNimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Mkuu 'Mwizukulu', kwani hili ni jipya?Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Kama kuvaa mabomu ma kujitoa mhanga hata sisi tunaweza sanaNimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Na hatchukuliwa hatua yoyoteNimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Machawa wa mama yao.Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Hata sijui una maanisha nini hapa, mkuu 'Detective'.Sheikh vipoozeo hawana uwezo huo
Yanayotokea nigeria wameshafika level fulani ya threatHata sijui una maanisha nini hapa, mkuu 'Detective'.
"Hawana uwezo" wa kufanya nini?
Una maana hawawezi kuwashughulikia TEC na wafuasi wao, au una maana gani hasa?
Yanayotokea Nigeria wewe hufikiri yanawezekana sana hapa? Kwenye nchi zenye waumini wengi wa kiislam hujui kuwa maisha ya waumini wa hizo dini nyingine ni ya shida kubwa kila siku? Hapa Zanzibar tu huoni mfano?
Padre Kitima alipogongwa kichwani, wewe ulifikiri ni akina nani wanaofanya kazi za aina hiyo?
Sasa waTanzania wakae tu watulie, tukiamini kama wewe, kwamba "hawana uwezo huo"?
Unataka uone nini ndipo uamini uwezo walio nao!
Kumpasua kichwa Katibu Mkuu wa TEC ni vitisho tu?Yanayotokea nigeria wameshafika level fulani ya threat
Hao hawana, na ni nothing but matisho.
Hawa wanaotisha si hata ajabu oct29 hawakutoka nje, walijifungia ndani.
Talk is cheap, but hawana uwezo huo
Uhai wa watu na vitu upi bora, si wangetumia washawasha kuzuia uharibifu?TEC wangetulia tu vigangoni, walau kusema watu wasiandamane siku ya uchaguzi, kulaani vurugu siku ya uchaguzi
Lakini siku ya kuapishwa rais wakasema waliokufa wako mbinguni, kwenye waraka wao hawakulaani vurugu bali kemea serikali peke yake,inaonesha wapo na uhalifu uliofanywa