LOooooh!Sisemi kwamba waachwe, wa amboni tanga, wale waliachiwa, and before yale matukio they were all talking even gov haku pay attention at that level
Even kwenye intelligence community walikuwa wakionya kuna threat, but serikal yetu unaijua
Walipofika kwenye phase II ndipo serikal ikajua oh it is serious
naelewa concern yako, but its too early. Although nashauri waangaliwe kwa jicho la karibu
"It's too early"?
Wewe umesikia lini Samia akizungumzia tu; achana na "kukemia" hawa wa sasa!
Wewe bado huoni ni sehemu ya njia yake ya kujiimarisha?
Nadhani kuna jambo unalojaribu kulitetea wewe bila ya kutaka kujifunua waziwazi juu ya jambo hili.