Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Sheikh vipoozeo hawana uwezo huo
Mamlaka haiwezi kuchukua hatua hiyo, na hiyo chama laghai kama CCM wanachekelea, maana wanahamisha pressure. Ila kisirisiri watawaambia fanyeni pole pole na kimya kimya. Ila utekaji utaendela kuwa mkubwa kwa sababu upande mmoja unaona sawa na wengine wanauma.Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Serikali inaruhusu vita ambayo hawatakaa waiwezeImekuwa vita ya dini sasa. Dah! so sad
Indeed! Hii mbinu wanayotumia sio kabisa maana hii sumu ikikolea vizuri matokeo yake yatakujakuwa mabaya zaidi naaSerikali inaruhusu vita ambayo hawatakaa waiweze
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.