Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Yaliyotokea kila mtu kaona ndugu yangu, kuna namna hili kundi la mashekh wetu(Special task) wanatukwaza sana sisi wenyeweHiyo bidhaa ya udini nayo imekataliwa, waislamu tupo nao vijiweni nao wanaunga mkono TEC na kulaani mauji
Wana fosi iwe hivyo... lakini haitakuwa.Imekuwa vita ya dini sasa. Dah! so sad
Hawa ni wapumbavu wa Samia aliowatuma kujaribu kupandikiza mbegu ya udini.Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Samia ni mshenzi sana. Na amedhamiria kweli kuiangamiza Tanganyika.Nimewataza namna wanavyozungumza body language niseme tu hao sio mashekhe ni watu wa medani ,watu wa Islamic extremist wanataka kuhamisha vita toka kwa wananchi dhidi ya serikali kuwa waislam dhidi ya wakristo
TEC wangetulia tu vigangoni, walau kusema watu wasiandamane siku ya uchaguzi, kulaani vurugu siku ya uchaguziSerikali inaruhusu vita ambayo hawatakaa waiweze
Mamlaka haziwezi kuwachukulia hatua yoyote, maana ndio wanaowatuma. Na lengo ni kuwatisha hao maaskofu ili wasiendelee kuongea ukweli mchungu dhidi ya serekali ya mauaji.Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Ninacho shangaa TEC wanatoa malalamiko yao kwa serikali lakini wanao jibu ni masheikh wa kiislam, hapa ndipo ninapo pigwa butwaa huenda hawa wavaa kobaz wana ajenda yao na cha ajabu serikali imekaa kimya kudhibiti hawa masheikh wanao chochea udini waziwazi ninacho kijua mchokozi ndiye huwa wakwanz kupiga yoweNimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Hakuna asiyejua ukweli unauma kwa kiasi gani. Si wajibu wa TEC kubalance shobo, serekali ilishaambiwa toka mwanzo uchaguzi usogezwe mbele ili matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi. Lakini walikuwa na kura zao 31m mkononi za kubumba.TEC wangetulia tu vigangoni, walau kusema watu wasiandamane siku ya uchaguzi, kulaani vurugu siku ya uchaguzi
Lakini siku ya kuapishwa rais wakasema waliokufa wako mbinguni, kwenye waraka wao hawakulaani vurugu bali kemea serikali peke yake,inaonesha wapo na uhalifu uliofanywa