Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nakubaliana na wewe."Ndugu zetu katika imani "
Ukishasikia hiyo kauli jua hakosolewi mtu hapo..huyu ni mwenzetu .
Elimu pia inachangia
Moshi unafuka29 Oct itafahamika.
Na bila Waislamu hamtoboi. Nyie ninwaoga mno na mnapenda sana dunia. Uwezo wenu ni matusi, kashfa na kuandamana mitandaoni tu!Pata maoni murua kwa wanadini wenye reasoning capacity, kwanza unawaonaje watu wa dini hiyo, wana ufahamu wa kuchambua mambo kwa akili huru isiyoharibiwa na imani za kidini? Bora wa dini ile nyingine hata kama uwe wa dini yao ukileta mazinguzi unachanwa live bila chenga. Sasa hawa wa dini hii unategemea wamchalenji mfuasi wa dini yao?!
tunapenda dunia? Kwani nyie mnaishi akhera?Na bila Waislamu hamtoboi. Nyie ninwaoga mno na mnapenda sana dunia. Uwezo wenu ni matusi, kashfa na kuandamana mitandaoni tu!
Basi mungekuwaga na hoja za msingi zaidi ya matusi ingekuwa nafuu basi.Unafikiri wana akili hao!? Mijitu mizima na mapumbu yao wanagombania kutoka Saudi Arabia hoja wataziweza?
Mleta mada kaongea vizuri ni mashehe na uroho wa pesa, wewe utaharibu kuwaongelea waislaam wote, wacha chuki ongelea wahusika,kuna waislaam wengi tu hata kuwasikiiza hao mashekhe hatuwasikilizi,na hii walifanya hata kipindi cha mwendazake kama unakumbuka, bure kabisa hawa. Uzuri waislaam hatuperekeshwi. Waache wahahuke na vipesa mbuzi"Ndugu zetu katika imani "
Ukishasikia hiyo kauli jua hakosolewi mtu hapo..huyu ni mwenzetu .
Elimu pia inachangia
Hakuna muislamu mzalendo....waislamu ni wabinafsi sana ...ndiyo maana kelele zao za wao kuwa ndiyo walio pigania uhuru ni uongo mkubwa sana ni scam ......hivi kuna muislamu kweli ambaye angeweza kumkabili mkoloni ?Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu .
Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni watu wa kusifu chama tawala na kuwaponda wale wote ambao wanaenda kinyume na chama tawala.
Ingekuwa kidogo inaleta mantiki kama wangejikita zaidi kwenye suala la dini na kutoingiza dini na siasa .
Kwa upande wakristo nimeona wengi wanahitaji mabadiliko , tumewasikia wachungaji kadhaa nje na ndani ya nchi, tena wengine wameenda mbali zaidi kwa kukataza muumini yeyote kuingia kanisani kama amevaa Tshirt au kofia au vazi la aina yoyote ile yenye maana ya kisiasa na wamewaonya vikali waumini wao wasitumike na wanasiasa , na hii ilikuja siku chache yule nywi nywi nywi kuombewa na watawa .
Mashekhe wakishapewa pesa ya ubwabwa akili yote inawaruka.
Natamani nchi ikichukuliwa na wapinzani ,hata baklava nayo ivunjwe isukwe upya kabisa.
Napost baadhi ya videos hapo chini kusindikiza uzi. πππππ