Watakula wapi hawana sadaka hao, midomo yao ya uchawa ni ajira kwaoNimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu .
Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni watu wa kusifu chama tawala na kuwaponda wale wote ambao wanaenda kinyume na chama tawala.
Ingekuwa kidogo inaleta mantiki kama wangejikita zaidi kwenye suala la dini na kutoingiza dini na siasa .
Kwa upande wakristo nimeona wengi wanahitaji mabadiliko , tumewasikia wachungaji kadhaa nje na ndani ya nchi, tena wengine wameenda mbali zaidi kwa kukataza muumini yeyote kuingia kanisani kama amevaa Tshirt au kofia au vazi la aina yoyote ile yenye maana ya kisiasa na wamewaonya vikali waumini wao wasitumike na wanasiasa , na hii ilikuja siku chache yule nywi nywi nywi kuombewa na watawa .
Mashekhe wakishapewa pesa ya ubwabwa akili yote inawaruka.
Natamani nchi ikichukuliwa na wapinzani ,hata baklava nayo ivunjwe isukwe upya kabisa.
Napost baadhi ya videos hapo chini kusindikiza uzi. 👇👇👇👇👇
wewe nae tafuta story nzuri nyingine uilete humu. Mambo ya siasa achana nayo.Yaan tuunge mkono ajenda za chama ambacho watu wanao tukana matusi ya nguoni ndio wafuasi wao? Chama ambacho ukipingana na misimamo yao basi wewe ni adui yao, hawan hoja zaid ya matusi? Nyiny unganeni na hao waislamu wasio jitambua ila musitegemee kuungwa mkono na sheikh wowote wa kiislamu anae jielewa abadani, coz rais akiwa wa upande wenu makanisa yote kimya ila shida atokee huku...View attachment 3480224
Watu kutekwa, kupotezwa sio hoja ya msingi kwenu au ndo "kifo ni kifo"Basi mungekuwaga na hoja za msingi zaidi ya matusi ingekuwa nafuu basi.
Pumba tupu.Jamani waislamu sio lazima wawaunge mkono. Fanyeni mambo yenu sio lazima waislamu kwani nyie si mpo wengi? Shida nini?. Yaani muwadharau, muwatukane alafu leo mje kuomba sapoti yao. Fanyeni mambo yenu mkifanikiwa mkifeli hilo halituhusu waislamu.
Nimewadharau mnoWazee wa nyama za msaada hawa kitu kichwani
Nakubaliana na weweSasa si walikimbia shule unategemea nini "hatutaki elimy dunia"
Wanajiabisha mnoUnafikiri wana akili hao!? Mijitu mizima na mapumbu yao wanagombania kutoka Saudi Arabia hoja wataziweza?
Pumba tupu.Hiyo Ni Ajenda Ya CHADEMA na Kanisa Mzee, Usitake Kila Mtu Afuate Msimamo Wenu, Sisi Sio Bendera Kuwa Tunaenda Tu Na Kila Wazo La Mtu, Waislamu Tuna Madai Yetu Kibao Hadi Leo Hayaja tekelezwa na Serikali Hakuna Kanisa Wala Chama Kilicho Tuunga Mkono Ya Nini Sisi Tuunge Ajenda Zenu? Waulize Maaskofu Zako Kuhusu MoU mabilion wanayopata serikalin kuna muislamu analamba? Waulize Kuhus Mahakama Ya Qadhw hao TEC walisemaje? kwanini sisi tuunge mkono ajenda zenu na tunajua ni kwa maslahi yenu tu? Usitake msimamo wako wewe basi kila mtu afuate kila mtu ashinde mechi zake we andamana me napiga kura.
unapiga kura kwa maslahi ya dini yako na si kwa nchi, mtasubiri sana hayo madai yenu ya kidiniHiyo Ni Ajenda Ya CHADEMA na Kanisa Mzee, Usitake Kila Mtu Afuate Msimamo Wenu, Sisi Sio Bendera Kuwa Tunaenda Tu Na Kila Wazo La Mtu, Waislamu Tuna Madai Yetu Kibao Hadi Leo Hayaja tekelezwa na Serikali Hakuna Kanisa Wala Chama Kilicho Tuunga Mkono Ya Nini Sisi Tuunge Ajenda Zenu? Waulize Maaskofu Zako Kuhusu MoU mabilion wanayopata serikalin kuna muislamu analamba? Waulize Kuhus Mahakama Ya Qadhw hao TEC walisemaje? kwanini sisi tuunge mkono ajenda zenu na tunajua ni kwa maslahi yenu tu? Usitake msimamo wako wewe basi kila mtu afuate kila mtu ashinde mechi zake we andamana me napiga kura.
hukuona yule mkali pamoja na ukali wake alikula spana? Acha udini weweYaan tuunge mkono ajenda za chama ambacho watu wanao tukana matusi ya nguoni ndio wafuasi wao? Chama ambacho ukipingana na misimamo yao basi wewe ni adui yao, hawan hoja zaid ya matusi? Nyiny unganeni na hao waislamu wasio jitambua ila musitegemee kuungwa mkono na sheikh wowote wa kiislamu anae jielewa abadani, coz rais akiwa wa upande wenu makanisa yote kimya ila shida atokee huku...View attachment 3480224
Penye udhia penyeza rupia, hata ambao wanaleta ngebe ni vile tu hawa ingia kwenye mnyororo wa kulamba asaliunapiga kura kwa maslahi ya dini yako na si kwa nchi, mtasubiri sana hayo madai yenu ya kidini
Magufuli walimuunga mkono mwanzo mwisho na hakuna kipindi viongozi wa kiislamu walipoa kama Cha magufuli, vipi uliwasifu kwa hilo hata siku Moja?!!!!Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu .