Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

Jamani waislamu sio lazima wawaunge mkono. Fanyeni mambo yenu sio lazima waislamu kwani nyie si mpo wengi? Shida nini?. Yaani muwadharau, muwatukane alafu leo mje kuomba sapoti yao. Fanyeni mambo yenu mkifanikiwa mkifeli hilo halituhusu waislamu.
 
Watakula wapi hawana sadaka hao, midomo yao ya uchawa ni ajira kwao
 
wewe nae tafuta story nzuri nyingine uilete humu. Mambo ya siasa achana nayo.
 
Jamani waislamu sio lazima wawaunge mkono. Fanyeni mambo yenu sio lazima waislamu kwani nyie si mpo wengi? Shida nini?. Yaani muwadharau, muwatukane alafu leo mje kuomba sapoti yao. Fanyeni mambo yenu mkifanikiwa mkifeli hilo halituhusu waislamu.
Pumba tupu.
 
Pumba tupu.
 
shida HAMUWEZI KUWASHAWISHI WATU waunge mkono hyo harakati.
Na mnakosea mnapotaka kufosi hyo iwe agenda ya Kila mtu.sio Kila mtu ni chadema.na sio Kila ambae hayupo chadema basi mnamuona mbaya kwenu.toeni elimu Kwa wananchi waielewe hyo .sio kuwaona watu Wana warudisha nyuma.HAMUWEZI WOTE MKAWA SAWA.
 
unapiga kura kwa maslahi ya dini yako na si kwa nchi, mtasubiri sana hayo madai yenu ya kidini
 
hukuona yule mkali pamoja na ukali wake alikula spana? Acha udini wewe
 
Huyu Hance Mtanashati ni Muislamu Jina tu hana akijuacho kwenye Uislamu ni wale waislamu fata mkumbo lkn ukimuuliza lini kakaa chini na kusoma dini yake ataanza porojo ziso na msingi
 
Magufuli walimuunga mkono mwanzo mwisho na hakuna kipindi viongozi wa kiislamu walipoa kama Cha magufuli, vipi uliwasifu kwa hilo hata siku Moja?!!!!

Viongozi wa kiislamu walilia sana hujuma kipindi Cha mkapa, hujuma mabayo mwishowe mkapa mwenyewe alitoka kitabu na kukiri, vipi uliwaunga mkono kipindi hicho?!!!!!

Unafikiri nchi hii mwenye macho, masikio, ngozi, ulimi na pua ni wewe tu?!! Vipi kama kipo wanachokijua ambacho wewe hukijui?!!! Hao viongozi wako wa kikristo kwanini wote wanaonekana kumpinga Samia tu?!!! Rudi nyuma kidogo, waliwahi kumpinga mkapa au magufuli kwa kiwango hiki?!!!! Utekaji unaoripotiwa umeanza mwaka huu?!! 2019/2020 kulikuwa na uchaguzi kweli?!!!!!!!! Hakukuwa na utekaji kweli?!!!!! Hakukuwa na maneno makali kabisa 'sipeleki maendeleo nisipochaguliwa' kweli?!!!!

Kutokuwa wanafiki kutatuweka huru. Usipotumia akili utajikuta unacheza Ngoma isiyo Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…