Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

Basi mungekuwaga na hoja za msingi zaidi ya matusi ingekuwa nafuu basi.
Mie Muislam, ila Dhulma waliyofanyiwa Waislam zilianza zamani sana katika kila awamu, Ila binafsi hakuna awamu iliyoniuma kama ile ya JM Kikwete....sikuona Unafuu wowote kwa WAISLAM

Tena hasaaa ndipo walipofungwa Masheikh wa Zanzibar katika uongozi wake na hata sasa naona mipango mingi ila utekelezaji hakuna Sheikh
 
Mi naamini siku tukiacha udini kwenye taifa letu tutafanikiwa! Alafu kuhusu waislam kutokuunga mkono watanzania wenzao kwenye NRNE naamini labda mama la mama bado hajawaonesha upendo wake! Siku akiwaonesha wataiunga mkono NRNE maana muda wa mabadiliko na ukombozi wa nchi yetu ni sasa au kamwe(its now or never) na mimi kwa upande wangu ningependa tuache kulaumiana kuhusu makosa yaliyotendeka hapo awali ili tujikomboe kama taifa maana hao viongozi hawana uchungu na mwananchi wa kawaida kama sisi. Na kama baadhi ya watanzania hawataki kushiriki katika harakati hii ya kujikomboa, tuwaache maana hata kipindi nyerere anapigania uhuru walikuwepo watanganyika waliopinga ila mwishowe uhuru ulipatikana.
 
Huyu Hance Mtanashati ni Muislamu Jina tu hana akijuacho kwenye Uislamu ni wale waislamu fata mkumbo lkn ukimuuliza lini kakaa chini na kusoma dini yake ataanza porojo ziso na msingi
acha ubinafsi wewe, unamtoa mwenzako nje ya uislam we ni allah? Huyo ni muislam anayejitambua sio kama wewe mla matango pori usiyejitambua mpaka umeota sigda kwa kusujudu usichokijua
 
Sasa kama nyinyi mna elimu mnataka support ya wajinga ili iweje? Mkiikomboa nchi nyinyi inatosha...sasa watu wapo madarakani halafu tena wajipinge wao wenyewe .. impossible
"Ndugu zetu katika imani "
Ukishasikia hiyo kauli jua hakosolewi mtu hapo..huyu ni mwenzetu .

Elimu pia inachangia
 
Kila upande una hoja yao na kimsingi kila watu wabaki na hoja yao.
Hawa utekaji na mengine yaendanayo na hayo na wengine Reforms. Walio na ushawishi watafanya vizuri
 
Kwa akili hizi chafu sijui walikuruhusu vipi kujiunga JF.
 
mahakama ya kadha ni hatari sana kwa usalama na utangamano tulio nao yatatokea machafuko makubwa.
 
Kama umesoma na una elimu mkuu basi Elimu Yako haijakusaidia ila kama hukusoma na huna Elimu sikudai!
 
Hiyo no reform ya wagalatia wengi sio ya kiukweli na uzalendo wa nchi. Bali ni ya kinafki tu ni kuwa hawamtaki mama samia tu ! Ingekuwa mlengwa wao wala usingesikia hizo marufuko zote za kila aina.


Unafki pembeni reforms ya nchi ilitakiwa kuanza lini??
 
NAni anataka kuondelewa kwenye payroll,watalisha vipi familia na vimada vyao.

Hao wazee wa tende na harua plus ubwabwa
 
FOOD FOR THOUGHT
Kenya ishakuwa na Rais
muislamu? Je uchumi wa Kenya na Tanzania ni sawa ?
 
acha ubinafsi wewe, unamtoa mwenzako nje ya uislam we ni allah? Huyo ni muislam anayejitambua sio kama wewe mla matango pori usiyejitambua mpaka umeota sigda kwa kusujudu usichokijua
Jitahidi ufiche ujinga wako usipende kuusambaza kila mtu akujue
 
Na bila Waislamu hamtoboi. Nyie ninwaoga mno na mnapenda sana dunia. Uwezo wenu ni matusi, kashfa na kuandamana mitandaoni tu!

Sasa ni lini Waislamu waneandamana barabarani....?

Mashehe karibu 100 wamekaa gerezani miaka kibao na akina Ponda wamepigwa mpaka risasi mbona hatujaona Waislam wakiandamana?

Ushiriki wa Waislamu wengi utahalalisha huu uchaguzi fake wa Samia.
 
Hakuna muislamu mzalendo....waislamu ni wabinafsi sana ...ndiyo maana kelele zao za wao kuwa ndiyo walio pigania uhuru ni uongo mkubwa sana ni scam ......hivi kuna muislamu kweli ambaye angeweza kumkabili mkoloni ?
Jukumu la waislamu au Uislamu sikutetea Demokrasia bali nikutetea Sheriya za Mungu na kuziishi.
 
Achana nao mkuu ipo siku watajirudi
 
Waslam gani?
Salafia - Hawa hata kura hawatopiga
Sunni/Answar/ibadhi/Tabligh - Hawa hawajali mambo ya siasa
Bakwata/Shura ya maimamu/Twarikaz - Hawa wananulika na ndio wameshika mpini.
Shia/ismailliya/kadiani - Hawa Wana biashara zao hivyo midomo imefungwa
 
Sasa ji lini Waislamu waneandamana varabarani....?

Mashehe kariba 100 wamekaa gerezani miaka kibao na akina Ponda wamepigwa mpaka tisasi mbona hatujaona Waislam wakiandamana?

Ushiriki wa Waislamu wengi utahalalisha huu uchaguzi fake wa INEC.
Sawa, kama nyie Wagala mna jeuri zuieni basi huu uchaguzi bila kuwashirikisha Waislamu kwenye mpango wenu tuone kama mtafika popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…