Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

šŸ˜
 
DSM inapendeza sasa, Tumuunge mkono Mama katika harakati hizi, Majanga aliyoachiwa na Bwana yule ni makubwa sana, ni vile tu hawezi kusema hadharani kwa sababu za KISIASA, na tabia yake pia (Maana mambo aliyoachiwa angekuwa Bwana yule kaachiwa angekuwa anamwaga mitusi kila siku kwenye hotuba zake), hawa machinga nao wasichekewe tena, jambo muhimu kuhakikisha huko walipo wanapatiwa huduma zote muhimu na waanze kulipa kodi sasa....
 
Wewe nenda kwenu tu Burundi!

Wamachinga lazima wapangwe na miji yetu lazima iendeshwe kistaaarabu!
Utawapanga mpaka lini.Hapa hujatatua tatizo.Tafuteni eneo lao maalum la biashara zao.Hilo ndilo suluhu.Walishapangwaga.Ukiondoka tu.wamerudi palepale.Au ofisi za jiji zikifungwa tu.tayari weshajazana juu ya mitaro na mbele ya maduka ya walipa kodi.

Tusiwalaumu,ndivyo walivyoaminishwa na mamlaka ikasema msiwabughudhi,hawa ndio wapiga kula wa sisiemu.Tena kuna viongozi waliopoteza kazi kwa kuwasukua.Mkawapa na vitambulisho nchi nzima kuhalalisha uwepo wao. Leo imekuwaje tena,au mhusika keshaendazake.
 
Mku
Mkuu,wamepangiwa wapi.
 
Hawafukuzwi wanapangwa kwani we ukihamishwa kikazi unakuwa umefukuzwa mkuu
Ni ngumu hasa kwa kazi zenye nature ya umachinga kama upolisi šŸ˜‚ ukitolewa shekilango ukapelekwa Tunduma huko jua washakumaliza na njaa maana gari za kukupa laki ndani ya dakika 40 hakunašŸ˜‚
 
View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.

Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.

Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Nilijua tu kwa maslahi yaliopo kariakoo pale hamna mtu atakubali kuhama kirahisišŸ˜‚ kariakoo pana hela sana pale ukijiweka vizuri hukosi 30-50K kwa siku kwa biashara ya kawaida tu!
 
Nilikua nawatetea wamachinga kwenye GRP lachama nikaonekana mbaya siungi Sera ila wamachinga niwatu wachini nilishafanya hiyokazi sikunilipoacha nibaada yakua naingiza 300 kwasiku ila fwateni tuu sheria maboss wanataka kupitisha magari yao
Ulianza kuingiza 300K kwa mishe gani mzee?
 
Nilijua tu kwa maslahi yaliopo kariakoo pale hamna mtu atakubali kuhama kirahisišŸ˜‚ kariakoo pana hela sana pale ukijiweka vizuri hukosi 30-50K kwa siku kwa biashara ya kawaida tu!
Washkaji wengi miaka hii mitano wametengeneza mitaji mikubwa wapo vizuri sasa hivi... alafu kina sandaland wameanzia uko uko ila wao hawataki wenzao wayatoe
 
Mkuu wala hajafanya kosa bali, ni mkakati wa kiufundi , kwani waliomba waongezewe, wiki mbili ili wakamilishe, japo hata hizo wiki mbili zitaisha hawakuwa wametoka wote, kwani kuna wengine baada ya kuongezwa siku wamerudisha mabanda yao tena hapo kuna nini.Lakini serikali itakuwa na la kujitetea kuanzia hiyo tarehe 1.11, itakapoanza sasa kusafisha, atakaye kutwa ni kumbakumba tu!!ningekuwa mimi ningetangaza kabisa tarehe hiyo JWTZ, ndio watafanya usafi wa jiji, sasa basi lawama hatutaki!!
 
Nimeona picha za baadhi ya maeneo waliondolewa wamachinga sijaamini jinsi kulivyo!jamaa walikua wanalichafua hilo jiji
 
Kabla sijaanza kufanya biashara ( za kuunga unga ) nilikuwa naona hao jamaa ( machinga ) ni watu wasio heshimu sheria na ni watu wakorofi, kumbe mkorofi ni mimi aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…