Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Wasafishwe mpaka vijijini yani pasiachwe mahala. Kila kona ta nchi iwe nyeupe. Hawataki warudi kulima vinginevyo waende walipopangwa.Wafurushwe,miji na majiji yakae sawa..Na kila anayekuja mjini ajue anakuja na mipango inayoeleweka..sio kuja kujenga vibanda vichafu kwenye miundombinu ya barabara.
Aisee! Mbona utaboreka sana Kama unaona nafaidi nitakupunguzia hii pua ili nawe unuse vizuri vikwapaWe nawe unaboa pua kubwa kila siku comment yako nalogof.
Lipieni fremu basi muwe rasmi hata kwa kusheaView attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.
Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.
Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Wenzio hawakukazi vizuriLipieni fremu basi muwe rasmi hata kwa kushea
aisee majibu gani tena haya....utoto umekua mwingi sana JF sikuhiziWenzio hawakukazi vizuri
Namwelewa sana RC Mh. Makala! Safi sana mkuu wa mkoa, Jiji linapendeza sana sasa hivi!
Utakuta ni jitu zima kabisa hili lina mke/mme na watoto kabisa!aisee majibu gani tena haya....utoto umekua mwingi sana JF sikuhizi
Utakuwa unawadanganya wenzio!View attachment 1979869
Huyu maku sijui mwenyekiti akalale kwa makala leo.
Kariakoo ni ya watanzania wote sio ya wenye mitaji mikubwa peke yao.
Hii ngoma bado mbichi watu watafurahi mbona.
Washkaji wengi miaka hii mitano wametengeneza mitaji mikubwa wapo vizuri sasa hivi... alafu kina sandaland wameanzia uko uko ila wao hawataki wenzao wayatoe
Huku hali ni shwari hofu kwakoWenzio hawakukazi vizuri
Njoo nikushikishe ukuta ufurahi.Vipi? Wameshafurahi?