Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

Point
 
Uhafifu wa IQ zetu ni ulemavu kama ulemavu mwingine.
 
Mifumo yote ya elimu, uchumi inamilikiwa na wakuu wa dunia huna kipya utakachokwnda nao kinyume
 
Mifumo yote ya elimu, uchumi inamilikiwa na wakuu wa dunia huna kipya utakachokwnda nao kinyume
Kimtizamo ni hivyo, tatizo kwa sisi Waafrika ndivyo hali tuliyo kubaliana nayo japo hatuna hata ndoto ya uthubutu.Kwakweli tuna safari ndefu sana japo ya kufikiria tu, Wachina wamewezaje? na Wakorea wamewezaje. Tatizo sisi waafrika tunaogopa mpaka vivuli vyetu wenyewe!
 
Viongozi wetu niviranja walimu wako nje sisi niwanafunzi tu
Raisi pekeee lakini nayeye kawekwa na wao
 
Hao wameweza kwa kushirikiana na wazungu hakuna maendeleo bila kuwashirikisha hao ndio wameshika ufunguo wa maendeleo Duniani
 
Mifumo yote ya elimu, uchumi inamilikiwa na wakuu wa dunia huna kipya utakachokwnda nao kinyume
Sijasema twende nao kinyume nimesema tuwe na mifumo yetu
Kwani hatuwezi kuwa na mifumo yetu bila kwenda nao kinyume??
Mfano moja katika character ya democracy ni mfumo wa vyama vingi , Tunaweza kuwa na vyama viwili tu au vitatu basi kupunguza wingi wa vyama ambao hauna tija hapo tunakuwa tupo ndani ya demokrasia lakini kwa namna yetu.
Mfano mwingine kwani ni lazima primary iwe miaka saba? Mbona kenya ni sita. Kwahiyo ninaposema tuwe na mifumo yetu namaanisha tuchuje mifumo yao iliyo bora na yenye manufaa tuchukue isiyo na manufaa tuache na iliyo na udhaifu turekebishe.
Mbona watu wamesimama hadharani kupinga ushoga hao wakubwa wa dunia wamewafanyia nini??
 
Kama viongozi wakubwa wanaiba mabilioni na adhabu yao kubwa ni kuondolewa madarakani badala ya kushitakiwa unategemea nini? Mkapa alikiri kuiba 100B ajili ya uchaguzi hatukusikia hata TAKUKURU inamhitaji hata kwenye mahojiano tu.
 
Hao wameweza kwa kushirikiana na wazungu hakuna maendeleo bila kuwashirikisha hao ndio wameshika ufunguo wa maendeleo Duniani
Brother!, unyonge wetu na kutojiamini kwetu ndiyo mtaji mkubwa sana kwa hao wazungu. Amini usiamini mbwembwe zote za wazungu na kujiamini kwao ni sababu ya Unyonge wa Mwafrika na huo ndiyo mtaji wanaoulinda na wanahakikisha kuulinda mpaka kiama(kama kweli kipo!) Afrika tuna kila kitu kilichopo huko kwa wazungu tatizo letu moja tu, ni kukubali kuwa tegemezi na kujirahisisha kupita kiasi kwa hao wazungu na kuwapa utukufu na hatma ya maisha yetu.
 
Ubinafsi ndio msingi wa upumbavu wote,mtu anawaza kukopa tu akijua anayo percentage yake,mzigo masikini watalipa
 
Kama viongozi wakubwa wanaiba mabilioni na adhabu yao kubwa ni kuondolewa madarakani badala ya kushitakiwa unategemea nini? Mkapa alikiri kuiba 100B ajili ya uchaguzi hatukusikia hata TAKUKURU inamhitaji hata kwenye mahojiano tu.
Hicho ndicho nilichokieleza kwamba Wananchi tunatakiwa tujitafakari, vinginevyo tutakuwa kilasiku ni mashuhuda wa kufanyiwa hizo sarakasi kila siku, na kubaki kutafuta kauli ja kujiliwaza kama hizo "CCM haifai tuitoe madarakani!" kwangu hizo ni kauli za kutafuta faraja ya kuidanganya mioyo yetu kwamba CCM ni mbaya tukiitoa madarakani tutakuwa na hali nzuri badala ya kujiuliza sababu ya CCM kufanya vibaya ni nini? maana wanasiasa ni wale wale kesho ukiwapa Dora Chadema utakuta walewale ulio wakimbia CCM wapo chadema au ACT tatizo mimi nasema sio chama ni watu, na hao watu ninauhakika wanaweza wasifike hata 20 ndiyo wameshika akili za Watanzania wote 61 millioni.
 
Katiba mbovu tudai katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…