kwa nyongeza pia, rwanda one of the poorest countries in the world ana-transfer 20 million usd kila mwaka kutoka rwanda kwenda kulipia mipira ya aston villa ya uingereza, let that sink in, us dollars milioni 20 kila mwaka ktk rwanda kwenda uingereza kusapoti timu ya aston villa.
rwanda -gdp per capital ~1,200 usd vs > 60 000 usd gdp per capital ya uingereza, fikiria 20 million usd ingefanya nini rwanda (na siyo mara moja tu labda walilipa 20 million dollars kwa miaka 5 la hasha, bali ni kila mwaka wanahamisha 20 million usd) kama tu kila mwaka wangechukuwa 20 million usd na ku-invest in rwanda lkn badala yake wanailipa aston villa usisahahu hiyo fedha inakuwa taxed huko uingereza pia na kuchangia uchumi wa uingereza, hata tanzagiza is the same wanachezea fedha nyingi sana kwenye anasa.
communism destroys afrika ...