CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Trump ameshaweka mguu DRC Kagame na majambazi yake watanyooshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoloni bado yupo kazini. Viongozi wa africa hukutana kupiga perdiem tu. Hawana meno.Haya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Hata kama Trump kaweka mguu. Hawakupaswa kumuacha mwanachama mwenzao Congo kipindi hiki.Trump ameshaweka mguu DRC Kagame na majambazi yake watanyooshwa
Says one UVCCM bot.Inabidi ukubali matokeo.
Huwezi beba mzigo ambao aubebeki
Swala ni kuimarisha ulinzi wetu.
Uhalisia ni kwamba serikali ya Congo aijawahi kuwa na full control ya eneo lake.
Sio East Congo tu, tuwaache nchi ijimege yenyewe mpaka kila eneo liwe na serikali yake.
Kama vipi wazungu waingilie kati.
Cha msingi JWTZ kipindi hiki cha upuuzi unaoendelea Congo, mipaka ya Tanzania sio ya kuchezea.
We have played our part kwenye kuilinda, Congo but not sustainable.
Sasa wasijaribu Tanzania atutakuwa na msalie mtume na watanzania wenzetu wasio na loyalty na ardhi yetu.
Wasaliti tutawapeleka huko wanapokuita nyumbani kwao huku wamelala kwenye matoroli (watalazwa vipi kwenye matorili watajua muda ukifika wakileta usaliti).
Ujinga wafanye huko-huko Tanzania ni nchi isiyo na udini, ukabila wala ubaguzi wa rangi. Lakini usaliti kwa Tanzania atutovumilia.
Mpuuzi kwa mujibu wa nani?Wameamua kuachana nae kwasababu ni mpuuzi
Wanajeshi wenyewe hawana uzalendo kazi wanayojua ni kulinda chama kilichopo madarakani tu,hawa wa kwetu walishaambiwa wakae mguu sawa kwa ajili ya uchafuzi mkuu wa October sasa hapo kuna jeshi tena au ni Green guard tu,wanajeshi wako West Africa wanasiasa wakizingua wanapigwa chini.Hata kama Trump kaweka mguu. Hawakupaswa kumuacha mwanachama mwenzao Congo kipindi hiki.
Wanatakiwa kujifunza kwa wenzao UK na EU walivyosimama na Ukraine katika kipindi hiki kigumu.
Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!Inabidi ukubali matokeo.
Huwezi beba mzigo ambao aubebeki
Swala ni kuimarisha ulinzi wetu.
Uhalisia ni kwamba serikali ya Congo aijawahi kuwa na full control ya eneo lake.
Sio East Congo tu, tuwaache nchi ijimege yenyewe mpaka kila eneo liwe na serikali yake.
Kama vipi wazungu waingilie kati.
Cha msingi JWTZ kipindi hiki cha upuuzi unaoendelea Congo, mipaka ya Tanzania sio ya kuchezea.
We have played our part kwenye kuilinda, Congo but not sustainable.
Sasa wasijaribu Tanzania atutakuwa na msalie mtume na watanzania wenzetu wasio na loyalty na ardhi yetu.
Wasaliti tutawapeleka huko wanapokuita nyumbani kwao huku wamelala kwenye matoroli (watalazwa vipi kwenye matorili watajua muda ukifika wakileta usaliti).
Ujinga wafanye huko-huko Tanzania ni nchi isiyo na udini, ukabila wala ubaguzi wa rangi. Lakini usaliti kwa Tanzania atutovumilia.
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu
Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
Kagame amejizatiti sana kijeshi,madini adimu yanayopatikana Mashariki ya Congo yameitajirisha sana Rwanda na katika utajiri huo Kagame kawekezi kwenye jeshi ili aendelee kupora utajiri wa DRC amenogewa sasa anaitaka Kishansa kabisa kisha aigeukie Tanzania huyu siyo wa kumchekea ana malengo ya mbali sana atatusumbua sana.Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!
Kagame kawekeza kwenye jeshi, silaha, mafunzo, Askari wana morali,
Bongo tumewekeza kwenye KUIBA KURA uchaguzi mkuu, hata pale mkuu wa Majeshi anapoonya kwamba Kuna wakuu wafanya maamuzi sio Raia Bado haeleweki!!
Unategemea nini?? Rwanda nchi ndogo, lakini kwenye vita hamna nchi ndogo hasa kama amefanya uwekezaji wa kutosha.
Ndio maana Israel anawachezesha singeli mashariki ya kati, hasa Irani,
Tuache kucheka na Rwanda, majuto ni mjukuu!🤔🤔🤔
Natamani sana watu wangeshirikiana mapema kuondoa utawala wa Kagame madarakani iwezekanavyo, Rwanda , Kagame ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu!!!
Huyu niwa kumwahi mapema kuondoa utawala wake madarakani, SADC wakitakiwa wafanye hima!!!
Mzaha mzaha hutumbua Usaha!!!🤔🤔🤔
Kama kuna watu wanajiona sio watanzania huu ndio muda wa kwenda wa kuchagua nchi wanayotaka.
Kama kwenda kuipigania East Congo, Rwanda, Burundi na kadhalika,
Mimi siafikl serikali ya Tanzania kujiingiza katika hiyo, migogoro; Iła kama upande wako sio Tanzania akutakuwa na mwamwana kwenye usaliti wa Tanzania.
Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!
Kagame kawekeza kwenye jeshi, silaha, mafunzo, Askari wana morali,
Bongo tumewekeza kwenye KUIBA KURA uchaguzi mkuu, hata pale mkuu wa Majeshi anapoonya kwamba Kuna wakuu wafanya maamuzi sio Raia Bado haeleweki!!
Unategemea nini?? Rwanda nchi ndogo, lakini kwenye vita hamna nchi ndogo hasa kama amefanya uwekezaji wa kutosha.
Ndio maana Israel anawachezesha singeli mashariki ya kati, hasa Irani,
Tuache kucheka na Rwanda, majuto ni mjukuu!🤔🤔🤔
Natamani sana watu wangeshirikiana mapema kuondoa utawala wa Kagame madarakani iwezekanavyo, Rwanda , Kagame ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu!!!
Huyu niwa kumwahi mapema kuondoa utawala wake madarakani, SADC wakitakiwa wafanye hima!!!
Mzaha mzaha hutumbua Usaha!!!🤔🤔🤔
Umeongea point.. jeshi la kufanya usafi wakisikia upinzani wanaandama..!!Anajua hakuna nchi yenye jeshi la kumtisha. Majeshi yao wameshayafanya ya kisiasa kazi kutisha raia tu.
Ye kazi yake saivi kutengeneza machawa kuwapa hela wamsifie...Mama Abduli ameshindwa kuongoza Troika ya ulinzi na usalama ya SADC ndio maana vijana wetu na wa Malawi, na Afrika Kusini, wanaondoka battle field namna hii.
..Mzee Mugabe alipokuwa Mwenyekiti wa Troika majeshi ya SADC yaliwatimua m23 na Rwanda toka viunga vya Kinshasa, wacha huko Mashariki ya DRC.
..Mama Abduli does not have the backbone kuwa CiC wakati mazingira ni tete.
Jeshi limekuwa jepesi sana. Acha Kagame awafundishe nini maana ya Jeshi imara.Umeongea point.. jeshi la kufanya usafi wakisikia upinzani wanaandama..!!
🤣🤣🤣 Chawa wa mama??..tuwapelekee vitumbua vya Mama, na mitungi ya gesi.🤣
Mkuu wanamchora tu , huyu anaweza sambaratishwa kwa masaa 48 tu, ukimiya nalo ni jibuHaya sasa!
SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.
Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.
Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!
Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.
View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?
Ila nguo zinaficha mengi sana..kama namuona Mama Abdul kapiga combat!!