Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

Trump ameshaweka mguu DRC Kagame na majambazi yake watanyooshwa
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Mkoloni bado yupo kazini. Viongozi wa africa hukutana kupiga perdiem tu. Hawana meno.
 
Inabidi ukubali matokeo.

Huwezi beba mzigo ambao aubebeki

Swala ni kuimarisha ulinzi wetu.

Uhalisia ni kwamba serikali ya Congo aijawahi kuwa na full control ya eneo lake.

Sio East Congo tu, tuwaache nchi ijimege yenyewe mpaka kila eneo liwe na serikali yake.

Kama vipi wazungu waingilie kati.

Cha msingi JWTZ kipindi hiki cha upuuzi unaoendelea Congo, mipaka ya Tanzania sio ya kuchezea.

We have played our part kwenye kuilinda, Congo but not sustainable.

Sasa wasijaribu Tanzania atutakuwa na msalie mtume na watanzania wenzetu wasio na loyalty na ardhi yetu.

Wasaliti tutawapeleka huko wanapokuita nyumbani kwao huku wamelala kwenye matoroli (watalazwa vipi kwenye matorili watajua muda ukifika wakileta usaliti).

Ujinga wafanye huko-huko Tanzania ni nchi isiyo na udini, ukabila wala ubaguzi wa rangi. Lakini usaliti kwa Tanzania atutovumilia.
Says one UVCCM bot.
 
Hata kama Trump kaweka mguu. Hawakupaswa kumuacha mwanachama mwenzao Congo kipindi hiki.

Wanatakiwa kujifunza kwa wenzao UK na EU walivyosimama na Ukraine katika kipindi hiki kigumu.
Wanajeshi wenyewe hawana uzalendo kazi wanayojua ni kulinda chama kilichopo madarakani tu,hawa wa kwetu walishaambiwa wakae mguu sawa kwa ajili ya uchafuzi mkuu wa October sasa hapo kuna jeshi tena au ni Green guard tu,wanajeshi wako West Africa wanasiasa wakizingua wanapigwa chini.
 
Inabidi ukubali matokeo.

Huwezi beba mzigo ambao aubebeki

Swala ni kuimarisha ulinzi wetu.

Uhalisia ni kwamba serikali ya Congo aijawahi kuwa na full control ya eneo lake.

Sio East Congo tu, tuwaache nchi ijimege yenyewe mpaka kila eneo liwe na serikali yake.

Kama vipi wazungu waingilie kati.

Cha msingi JWTZ kipindi hiki cha upuuzi unaoendelea Congo, mipaka ya Tanzania sio ya kuchezea.

We have played our part kwenye kuilinda, Congo but not sustainable.

Sasa wasijaribu Tanzania atutakuwa na msalie mtume na watanzania wenzetu wasio na loyalty na ardhi yetu.

Wasaliti tutawapeleka huko wanapokuita nyumbani kwao huku wamelala kwenye matoroli (watalazwa vipi kwenye matorili watajua muda ukifika wakileta usaliti).

Ujinga wafanye huko-huko Tanzania ni nchi isiyo na udini, ukabila wala ubaguzi wa rangi. Lakini usaliti kwa Tanzania atutovumilia.
Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!

Kagame kawekeza kwenye jeshi, silaha, mafunzo, Askari wana morali,

Bongo tumewekeza kwenye KUIBA KURA uchaguzi mkuu, hata pale mkuu wa Majeshi anapoonya kwamba Kuna wakuu wafanya maamuzi sio Raia Bado haeleweki!!

Unategemea nini?? Rwanda nchi ndogo, lakini kwenye vita hamna nchi ndogo hasa kama amefanya uwekezaji wa kutosha.

Ndio maana Israel anawachezesha singeli mashariki ya kati, hasa Irani,

Tuache kucheka na Rwanda, majuto ni mjukuu!🤔🤔🤔

Natamani sana watu wangeshirikiana mapema kuondoa utawala wa Kagame madarakani iwezekanavyo, Rwanda , Kagame ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu!!!

Huyu niwa kumwahi mapema kuondoa utawala wake madarakani, SADC wakitakiwa wafanye hima!!!

Mzaha mzaha hutumbua Usaha!!!🤔🤔🤔
 
Naamini hivyo, itakuwa wanamlia timing ajichanganye. Maadam US anataka achukue mzigo, na majuzi hapa kaja kutupigisha mazoezi, nadhani kuna jambo litatokea
Hili nimelijua hivi karibuni aisee Nchi hii hatari sana ila hii tabia ya kufinya kimnya kimnya ndio maana wanaonekana wapo wapo tu

Nb, kuna mzee muuza machungwa hapa kanipenyezea kuwa SADC kuondoa majeshi huko ni mtego tu ili watu warudi kivingine sijajua kamaanisha
 
Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!

Kagame kawekeza kwenye jeshi, silaha, mafunzo, Askari wana morali,

Bongo tumewekeza kwenye KUIBA KURA uchaguzi mkuu, hata pale mkuu wa Majeshi anapoonya kwamba Kuna wakuu wafanya maamuzi sio Raia Bado haeleweki!!

Unategemea nini?? Rwanda nchi ndogo, lakini kwenye vita hamna nchi ndogo hasa kama amefanya uwekezaji wa kutosha.

Ndio maana Israel anawachezesha singeli mashariki ya kati, hasa Irani,

Tuache kucheka na Rwanda, majuto ni mjukuu!🤔🤔🤔

Natamani sana watu wangeshirikiana mapema kuondoa utawala wa Kagame madarakani iwezekanavyo, Rwanda , Kagame ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu!!!

Huyu niwa kumwahi mapema kuondoa utawala wake madarakani, SADC wakitakiwa wafanye hima!!!

Mzaha mzaha hutumbua Usaha!!!🤔🤔🤔
Kagame amejizatiti sana kijeshi,madini adimu yanayopatikana Mashariki ya Congo yameitajirisha sana Rwanda na katika utajiri huo Kagame kawekezi kwenye jeshi ili aendelee kupora utajiri wa DRC amenogewa sasa anaitaka Kishansa kabisa kisha aigeukie Tanzania huyu siyo wa kumchekea ana malengo ya mbali sana atatusumbua sana.
 
Kama kuna watu wanajiona sio watanzania huu ndio muda wa kwenda wa kuchagua nchi wanayotaka.

Kama kwenda kuipigania East Congo, Rwanda, Burundi na kadhalika,

Mimi siafikl serikali ya Tanzania kujiingiza katika hiyo, migogoro; Iła kama upande wako sio Tanzania akutakuwa na mwamwana kwenye usaliti wa Tanzania.

..Mama Abduli ameshindwa kuongoza Troika ya ulinzi na usalama ya SADC ndio maana vijana wetu na wa Malawi, na Afrika Kusini, wanaondoka battle field namna hii.

..Mzee Mugabe alipokuwa Mwenyekiti wa Troika majeshi ya SADC yaliwatimua m23 na Rwanda toka viunga vya Kinshasa, wacha huko Mashariki ya DRC.

..Mama Abduli does not have the backbone kuwa CiC wakati mazingira ni tete.
 
Ni ujinga nakuona mambo ya Congo hayatuhusu, Kagame amefaulu kwenye mgogororo wa Kongo, siku Keinrugaba Muhoozi akiwa Rais wa Uganda, wakapiga Collaboration na Rwanda, hakuna mtu wa kukohoa hata Tanzania mbele bya hii miamba!!

Kagame kawekeza kwenye jeshi, silaha, mafunzo, Askari wana morali,

Bongo tumewekeza kwenye KUIBA KURA uchaguzi mkuu, hata pale mkuu wa Majeshi anapoonya kwamba Kuna wakuu wafanya maamuzi sio Raia Bado haeleweki!!

Unategemea nini?? Rwanda nchi ndogo, lakini kwenye vita hamna nchi ndogo hasa kama amefanya uwekezaji wa kutosha.

Ndio maana Israel anawachezesha singeli mashariki ya kati, hasa Irani,

Tuache kucheka na Rwanda, majuto ni mjukuu!🤔🤔🤔

Natamani sana watu wangeshirikiana mapema kuondoa utawala wa Kagame madarakani iwezekanavyo, Rwanda , Kagame ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu!!!

Huyu niwa kumwahi mapema kuondoa utawala wake madarakani, SADC wakitakiwa wafanye hima!!!

Mzaha mzaha hutumbua Usaha!!!🤔🤔🤔

..tuwapelekee vitumbua vya Mama, na mitungi ya gesi.🤣
 
JWTZ watakuwa na Baraka za Wananchi wakiwa katika ulinzi wa mipaka yetu angalia walivyomfurusha Nduli Iddi Amini Dada.

Na mission za kumkomboa Mwafrika katika makucha ya Mkoloni Mzungu huko kusini mwa Afrika lakini sio vita sisi kwa sisi Waafrika.

Sio kukimbizana na Watutsi na Wahutu kwenye mapori ya Kongo kinachotakiwa ni mazungumzo baina ya Brothers.
 
..Mama Abduli ameshindwa kuongoza Troika ya ulinzi na usalama ya SADC ndio maana vijana wetu na wa Malawi, na Afrika Kusini, wanaondoka battle field namna hii.

..Mzee Mugabe alipokuwa Mwenyekiti wa Troika majeshi ya SADC yaliwatimua m23 na Rwanda toka viunga vya Kinshasa, wacha huko Mashariki ya DRC.

..Mama Abduli does not have the backbone kuwa CiC wakati mazingira ni tete.
Ye kazi yake saivi kutengeneza machawa kuwapa hela wamsifie.

Na kalikuta jeshi kila siku linazidi kuwa la vilaza kuwalamba wanasiasa miguu.

Acha tu tuwe wanyonge.
 
Haya sasa!

SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke.

Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya kigeni viondoke Mashariki mwa Congo DRC.

Nadhani kwa haya yaliyotokea, sote sasa tunajua mbabe wa Afrika ni Kagame/ Rwanda!

Msiniulize tena kwa nini nitailani milele CCM kwa kutufikisha hapa.

View attachment 3269444View attachment 3269445View attachment 3269445
Mkuu wanamchora tu , huyu anaweza sambaratishwa kwa masaa 48 tu, ukimiya nalo ni jibu
 
Mr Slim anasema Felix aliisha miaka mingi Belgium na alikuwa dereva wa kupeleka pizza kwa wateja eti leo Raisi
Anasema tajiri wake Italiano alicheka sana aliposikia hayo

Ila labda US anasafishiwa njia aingie mazima who knows
 
DRC,EAC,SADC,AU,UN zote zimeshindwa kuleta amani kongo, kunani?

13 March 2025
Johannesburg, South Africa

SADC imeamua kuondoa wanajeshi kutoka DRC: mchambuzi Dk Kingsley Makhubela achambua uamuzi huu mgumu

View: https://m.youtube.com/watch?v=hhJjrCRfPY0&t=19s&pp=2AETkAIB
Dk Kingsley Makhubela, ni balozi wa mstaafu na Mkurugenzi wa Risk Recon, anafafanua uamuzi wa SADC wa kusitisha majukumu ya Misheni ya Kijeshi nchini DRC.

More info :
Ramaphosa, welcomed a decision taken by the SADeC Extraordinary summit to withdraw peacekeeping mission troops in the eastern Democratic Republic of Congo. He says a ceasefire and talks in the DRC are the only options that will bring peace.

President Ramaphosa says AU Chairperson and Angolan President, João Lourenço, will lead the negotiations to find lasting peace in the DRC.

“The decision to finally withdraw from the eastern DRC by the three troop contributing countries is also based on the fact that the ceasefire that we have sought to install in that place is now being embraced and we are going to see a ceasefire eventuating and getting the negotiations underway under the leadership of President Lourenço assisted by a number of facilitators,” says Ramaphosa.
 
Back
Top Bottom