Peleka sasa vijana Gaza wakatetee nafsi za Watoto na Mama zao wanaouawa bila huruma na "taifa teule la Mungu" maneno tupu hayafanyi kazi
Nchi za kishenzi kama Marekani ziliundwa hivi hivi kwa kuua wenyeji
Nonsense. Kichapo kipo pale paleMwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao.
Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo hayo yaliyochukua dakika 45 yalisisitiza udugu wao na Palestina na kumalizia na tamko kwamba siasa za Marekani kuiunga mkono Israel katika mashariki ya kati zinaharibu hali za hewa za kisiasa za jimbo hilo.
Iranian president, Saudi crown prince discuss Israel-Hamas war
Nani mchokozi kama sio waisraeli dini isiwapofusheWanatetea nafasi zipi?. Wakati wao ndio wachokozi. Waigwe tu.
Maneno matupu bila matendo hayatoshi.Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao.