Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy.
Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao.
Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na wanasiasa wakubwa. Walijaza "gape" ambalo waliliona la watu wenye pesa ambapo kutokana na umaarufu wao na mazingira ya maisha ya kawaida yalivyo, watu hawa hawawezi kujichanganga na watu wa kawaida. Mwisho wa siku, binadamu yoyote bila kujali mali, nyadhfa wala madaraka lazima atafute mambo ya kujiliwaza na kufaidi pesa zake.
Swali la kujiuliza, wanasiasa wa Tanzania wanalia wapi pesa zao?
Kipindi cha Kikwete, walau tuliona safari zisizoisha za nje na labda huko ndiyo alikuwa anafanya yake. Akirudi Tanzania, mara amewaalika Boyz 2 Men, naye anahudhuria hayo matamasha. Kidogo dalili zake za kula bata ulikuwa unaziona.
Sasa hawa wa sasa ambao tunaweza kusema ndiyo wanapiga pesa za umma kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya Tanzania, wanajifanya watakatifu. Mbona kuna usiri mkubwa katika maisha yao nje ya matukio ya majukwaani na maziara ya mikoani?
Mnataka kusema hawa watu hawana starehe? Kuna mtu aliwahi kusema, "Everybody has a secret!"