Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza.

Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂

Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu vizur Mnoo👊

Bodi mmejikaaanga lasivyo kamlambeni miguu HERSI akubali Match ichezwe ila akigoma nasema hivi hata Simba atawageuka ataomba Match ichezwe na atataka point zake sa sijui mtajitetea vipi?

Yani imagine Simba nae anakuja anaomba Match yake ichezwe mtafanyeje hapo? Wakat huo Yanga nae kagoma.

Bora Jana mngeacha tu officials wawepo, halaf msingetoa Kauli yoyote ya kusema either kukatwa point mtu au kusema match itachezwa Tena, mngekaa kimya mkatoa tu taarfa kua kamat inakaa kujadili..

Then after consultation Kwa pande zote hata baada ya 2 days mngeoa taarfa kua ni either mmewapa Yanga 3 points au Match itachezwa Tena...mkiwa na uhakika na mnachoongelea.

#Mexico🇲🇽
 
Huu mzigo ambao tff na bodi ya ligi wameuchukua kutoka Simba watajua wanaenda kuutua wapi. Hapa inatakiwa wandae ushahidi wa kutosha kwann waliahirisha mechi.
Wewe sasa ndo umeongea jambo la maana lisilo la kimihemko.

Taarifa inasema Kuna sababu walizodai zinatoka kwa wanausalama zilizoambatana na tukio la Simba kuzuiwa mazoezi zinazohitaji uchunguzi zenye uzito wa kuhairisha mechi na ndizo zinazosubiriwa.

Ujue hapa ishu si hao Simba na Yanga tu, kuna gharama za udhamini wa mechi n.k watu wanasubiria majibu ya biashara zao.
 
Huu mzigo ambao tff na bodi ya ligi wameuchukua kutoka Simba watajua wanaenda kuutua wapi. Hapa inatakiwa wandae ushahidi wa kutosha kwann waliahirisha mechi.
Hili sakata Kuna watu wataanza kufungiwa Ili kuwatisha wengine kuwatia uoga wasiendele kuhoji pale maamuzi mabovu yatakapoendelea kutolewa
 
Ingawa bodi ya ligi haipo Sahihi Mimi nawaelewa!
Wamefanya damage control, chose lesser of the two evils!

Wasingehairisha mechi ni wazi wangepaswa kuwapa ushindi yanga asubuhi tu.
At least hichi walichokufanya kinazungumzika!

TFF/Bodi ya ligi wanajua kuwa kosa ni la kwao kwa kuishi kwa mazoea bila kufuata kanuni kikamilifu panapohusika na match za Simba na Yanga.

Simba wametumia udhaifu huo ku-buy time kujipanga vizuri ..

Yanga wakikaza shingo ushindi watapewa Simba na ubingwa juu..Tutapiga makele Kisha tutasahau maisha yatasonga!
 
Wewe sasa ndo umeongea jambo la maana lisilo la kimihemko.

Taarifa inasema Kuna sababu walizodai zinatoka kwa wanausalama zilizoambatana na tukio la Simba kuzuiwa mazoezi zinazohitaji uchunguzi zenye uzito wa kuhairisha mechi na ndizo zinazosubiriwa.

Ujue hapa ishu si hao Simba na Yanga tu, kuna gharama za udhamini wa mechi n.k watu wanasubiria majibu ya biashara zao.
TFF na bodi ya ligi watakuja kusema kwa mazingira yaliyotokea simba ilipoenda kwenye mazoezi siku ya pili mechi ingekuwa na vurugu kwahiyo wameahirisha ili kuepuka mazingira hatarishi,usishangae jeshi la polisi nao wakaja na tamko kwamba kungekuwa na hatari ya kiusalama. Hapo kisingizio tayari ,siku ya mechi itapangwa,mgeni rasmi atakuwa rais,viongozi wa siasa kama kina Mwigulu watashauri viongozi wa Yanga maana wanajipendekeza kwa mama,halafu hamna mtu atakataa na mechi itachezwa.
 
Ingawa bodi ya ligi haipo Sahihi Mimi nawaelewa!
Wamefanya damage control, chose lesser of the two evils!

Wasingehairisha mechi ni wazi wangepaswa kuwapa ushindi yanga asubuhi tu.
At least hichi walichokufanya kinazungumzika!

TFF/Bodi ya ligi wanajua kuwa kosa ni la kwao kwa kuishi kwa mazoea bila kufuata kanuni kikamilifu panapohusika na match za Simba na Yanga.

Simba wametumia udhaifu huo ku-buy time kujipanga vizuri ..

Yanga wakikaza shingo ushindi watapewa Simba na ubingwa juu..Tutapiga makele Kisha tutasahau maisha yatasonga!
Paragrafu ya kama sijaielewa hivi?? Nani anastahiki haki kisheria ya point 3 kati ya hao mabwana wa dar??
 
Paragrafu ya kama sijaielewa hivi?? Nani anastahiki haki kisheria ya point 3 kati ya hao mabwana wa dar??
Bodi ya ligi walikurupuka, walitakiwa kusisitiza kwamba meçhi iko pale pale na ambaye angegomea mchezo ndo angepokwa point 3, sasa bodi ya ligi wakaahirisha mchezo kipumbavu. Sasa mchezo umeahirishwa na bodi ya ligi hakuna mwenye makosa kwa kutokufika uwanjani.
 
Mechi imeahirishwa na bodi ya ligi, Yanga anapewaje points wakati mechi imeahirishwa?
Yaani bodi ya ligi iahirishe mechi ili isichezwe halafu waipe ushindi Yanga? Wee vp?
Kahujumiwa hivyo alistahili point zake tatu,waliogomea mechi kwa kutofika uwanjani bila sababu,walifaa adhamu na sii janja janja kuwanusuru.
 
Bodi ya ligi hawajakurupuka wana uhakika na wanachoongea na walikuwa na options moja tu mechi kuchezwa tena na sio kumpa mpuuzi mmoja points za mezani na magoli matatu kwa kupiga danadana tu na kuondoka

Mechi itachezwa tena, huyo Hersi na wanachama wake watake wasitake mechi itachezwa tena na timu yanga wataleta na huo ndio uhakika walionao bodi ya ligi
 
Back
Top Bottom