THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza.
Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂
Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu vizur Mnoo👊
Bodi mmejikaaanga lasivyo kamlambeni miguu HERSI akubali Match ichezwe ila akigoma nasema hivi hata Simba atawageuka ataomba Match ichezwe na atataka point zake sa sijui mtajitetea vipi?
Yani imagine Simba nae anakuja anaomba Match yake ichezwe mtafanyeje hapo? Wakat huo Yanga nae kagoma.
Bora Jana mngeacha tu officials wawepo, halaf msingetoa Kauli yoyote ya kusema either kukatwa point mtu au kusema match itachezwa Tena, mngekaa kimya mkatoa tu taarfa kua kamat inakaa kujadili..
Then after consultation Kwa pande zote hata baada ya 2 days mngeoa taarfa kua ni either mmewapa Yanga 3 points au Match itachezwa Tena...mkiwa na uhakika na mnachoongelea.
#Mexico🇲🇽