Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

Kalpana kwenye zile vurugu, ndiyo alikuwa mwanamke pekee aliyekuwa aking'oa viti vyetu na kuwarushia Waarabu kwa kasi ya ajabu!! Mwanamke ana nguvu yule! Acha kabisa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Tate nimecheka sana dooo...nilikua napita hapa krb na ukumbi wa JK kesho ndo kesho mji umejaa kijani...kama una mke wako kaja huku eti kwny mkutano wa chama umeula wa chuya
 
Back
Top Bottom