We jamaa rudi jukwaa la man u, njoo tuteseke pa1.Tatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Upewe ubalozi wa mpira kabisa uwafunze waropkaji......mashindano haya ya kimataifa kama simba imefanikiwa kutoka sare ugenini basi ipongezeni timu yenu. zamareki jana kadhalilishwa mbili nunge pale djibout naleo iweje simba badala ya kushangilia sare inajiona ilikuwa na hadhai ya kushinda. mashindani ya mabingwa wa CAF isibezwe timu yeyote. kila timu ina kocha mjanja ambaye kusuka ushindi uwanjani kama simba iliambulia sare basi iongeze mbinu badala ya kuanza kulaumu wachezaji. hawa power dynamoo sio wa kuwachezea. Power dynamoo kila mwaka hutolewa kwa mbinde sana mashindanoni hivyo kama wamejiuliza na kusawazisha mashimo yao usitegemee hata Al Ahly ya misri ingefua dafu pale Northen Rhodesia jana.
Tabu wengi mafaza.Timu haipambani wanacheza kama vile wanatongozana
MBON MAMBO BADO!!!TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.
Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
NILIKWISHA KUWAONYA MASHABIKI WA SIMBA KUWA MJIAMDAE KISAIKOLOJIA.
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
Tutajie wachezaji wakucheza African football league kama unawajua,hivi mpira kweli unaujua na kufuatilia au wewe unaangalia "simba yako tu"Hawa ni wachezaji wa kucheza Simba ya super cup?????????
1. Moses phili.
2. Luis MIQUISSONE.
3. Aubin Kramo.
4. Sadio Kanute.
5. Essomba Onana.
Saido na Malone????????????
Mwenyewe nashindwa kuwaelewa wanaoona kama Simba haifanyi poa.. matokeo ya 2-2 ugenini tayari n big win Kwa Simba maana ili atolewe inabidi Afungwe na power dynamo kitu ambacho kiuhalisia ni ngumu...Tatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Dah,umejibu kitu amabcho binafsi nimekuelewa vzrTatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
HahahahaaTutajie wachezaji wakucheza African football league kama unawajua,hivi mpira kweli unaujua na kufuatilia au wewe unaangalia "simba yako tu"
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
AaahaaaaaMm simbaa ,ila naona yanga Kwa kikosi Chao watafika mbali wa kituu msimu huu Tena kikubwaa ....
Naunga mkono hoja,ahaaaaaaTatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Umesema kweli yote waache kushebedua uwanjani, ila kwa kibu denis utanisamehe jamaa anajitoa sana na anapambana haswaTAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.
Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Mzee, unaweza kuwa na point, lakini haiingii akilini kila mchezaji kwako ni mbovu.!Hawa ni wachezaji wa kucheza Simba ya super cup?????????
1. Moses phili.
2. Luis MIQUISSONE.
3. Aubin Kramo.
4. Sadio Kanute.
5. Essomba Onana.
Saido na Malone????????????
Mkuu..!Clatous Chota Chama.