Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

mashindano haya ya kimataifa kama simba imefanikiwa kutoka sare ugenini basi ipongezeni timu yenu. zamareki jana kadhalilishwa mbili nunge pale djibout naleo iweje simba badala ya kushangilia sare inajiona ilikuwa na hadhai ya kushinda. mashindani ya mabingwa wa CAF isibezwe timu yeyote. kila timu ina kocha mjanja ambaye kusuka ushindi uwanjani kama simba iliambulia sare basi iongeze mbinu badala ya kuanza kulaumu wachezaji. hawa power dynamoo sio wa kuwachezea. Power dynamoo kila mwaka hutolewa kwa mbinde sana mashindanoni hivyo kama wamejiuliza na kusawazisha mashimo yao usitegemee hata Al Ahly ya misri ingefua dafu pale Northen Rhodesia jana.
Upewe ubalozi wa mpira kabisa uwafunze waropkaji......
 
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA

Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.

Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
MBON MAMBO BADO!!!
mpk siku wote mshabikie yanga km ilivyoandikwa kwenye vitabu ambavyo hujawahi kuvisoma
 
Hawa ni wachezaji wa kucheza Simba ya super cup?????????

1. Moses phili.

2. Luis MIQUISSONE.

3. Aubin Kramo.

4. Sadio Kanute.

5. Essomba Onana.

Saido na Malone????????????
 
NILIKWISHA KUWAONYA MASHABIKI WA SIMBA KUWA MJIAMDAE KISAIKOLOJIA.

Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu

Wachezaji wa simba hawana hili kabisaaa. Wamejaa ufaza ufaza hivi.Ndo maana hakuna matokeo yanayoeleweka.

Ila lakini wakiamu,watapiga timu kwa goli nyingi sanaa.
 
NILIKWISHA KUWAONYA MASHABIKI WA SIMBA KUWA MJIAMDAE KISAIKOLOJIA.

MTAPIGA KILA KELELE MTALIA KILA KILIO, NILIPOKUWA NATOA USHAURI HAPA NILIISHIA KUDHARAULIKA NA KUTOLEWA LUGHA ZA KUUDHI, DHARAU NK
 
Hawa ni wachezaji wa kucheza Simba ya super cup?????????

1. Moses phili.

2. Luis MIQUISSONE.

3. Aubin Kramo.

4. Sadio Kanute.

5. Essomba Onana.

Saido na Malone????????????
Tutajie wachezaji wakucheza African football league kama unawajua,hivi mpira kweli unaujua na kufuatilia au wewe unaangalia "simba yako tu"

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Mwenyewe nashindwa kuwaelewa wanaoona kama Simba haifanyi poa.. matokeo ya 2-2 ugenini tayari n big win Kwa Simba maana ili atolewe inabidi Afungwe na power dynamo kitu ambacho kiuhalisia ni ngumu...
Sana Sana Sisi Yanga ndo tungekua tunawadhihaki Simba kutoa Sare Kwa maana ya "utani" Tu lakini napoona wanasimba wanalia Lia nashindwa kujua kama wanaelewa hata kinachoendelea...

Vinginevyo umetoa fact kubwa, Simba inaonekana si chochote Kwa sababu ya matokeo ya Yanga
 
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA

Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.

Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Umesema kweli yote waache kushebedua uwanjani, ila kwa kibu denis utanisamehe jamaa anajitoa sana na anapambana haswa
 
Hawa ni wachezaji wa kucheza Simba ya super cup?????????

1. Moses phili.

2. Luis MIQUISSONE.

3. Aubin Kramo.

4. Sadio Kanute.

5. Essomba Onana.

Saido na Malone????????????
Mzee, unaweza kuwa na point, lakini haiingii akilini kila mchezaji kwako ni mbovu.!
Lakini pia, hayo ya usajili yalikuwa ni mawazo yako, na hata mimi nina yangu pia. Sio lazima mawazo yako yafanyiwe kazi kwa usahihi.

Hii Simba ipo na itaendelea kuwepo wether wachukue mawazo yako ama la.
Haina afya kwa mshabiki wa klabu kuendelea kukkosoa kila kitu kisa mawazo yako hayajafuatwa.
 
Back
Top Bottom