Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Waambie Hawa viongozi wasiotumia akili kabisa, wanashika madaraka kwa hila, ndio mana wajawa na ubinafsi, wasiopenda maendeleo ya inchi zao, muda wao umewadia
 
"Deni la Taifa ni Himilivu"
Hili neno huwa linanikera mpaka basi
Ila " Every dog has its day"
 
Hatari kweli kweli
 
Yeah!... Mzee Trump cabinet yake nzima kajaza 'chawa' wake ..

.ila huko mbeleni atagundua Putin sio rafiki yake kama anavyodhani na katu hataweza kumweka 'under control' kama anavyofikiri...ila kubwa zaidi huyu Mzee (Trump) ataiachia nchi yake 'msala'.

Yoda Drifter Mag3
 
Yeah...na anatumia 'short cut' hizo hizo kutaka kumaliza hii vita huko Ulaya mashariki alivyoahidi angeimaliza saa 24 baada ya kuapishwa.
 
Unataka kutuaminisha kuwa wamarekani hawajui kilichobora kwao? Ninyi mliochagua viongozi wenye uwezo wamelipeleka wapi taifa zaidi ya kuliuza vipande vipande?
 
Mkuu hapana hapana ulivyoandika siyo poa kabisa tena ni uhaini.
Tumia akili endelea kusoma komenti za mbele nimefafanua ...hiki nilicho andika ni kwa kiongozi yoyote anaye amini kuwa kuna wajomba kwa waarabu au mabeberu watakao mjengea nchi yake huyo ni kama kahaba anaye jihuza na kujidhalilisha sawa sawa na upumbavu wa akili zake
 
Kama wewe upo huko uliko hujui kama hujui unafikiri wengine nao hawajui kama hawajui!
Sijui hata kama huyo Donald Trump Jr. unamfahamu vizuri... Nakushauri acha uvivu. Go do your proper homework!
How can you dare to do an economic revolution to your country ukiwa na kiasi hicho cha fantasy, uvivu na ujinga?
 
Aki you are out of your mind aisee!
Kasome upya historia ya vita vya Ukraine...
Ukraine wanapigania hali yao ya kuishi duniani...
Wameandamwa sana toka enzi na enzi Ili waangamizwe...
Anachofanya Putin ni muendelezo wa ukandamizaji uliowahi kufanyika dhidi ya Ukrainians. Waangamizwe! Maeneo yao yachukuliwe!

Yaani kama unaona kumaliza vita ni kumdharaulisha Rais wa Ukraine Ili atie saini ya kuuza rasilimali adimu za nje yake kwa vibaka na vibaraka wa Putin unaikosea sana Ukraine!
Rais wa nchi hadhalilishwi kwa kiasi kile ambacho Trump & Vance walitaka kumdhalilisha Zalenskyy!
Kama Marais wenu huko Africa washazoea kuitikia YES kwa kila na kulamba viatu vya wakubwa kamwe hutokuta kitu kama hicho kwa Ukrainians!
Kumbe ndo maana bandari, ardhi, wanyapori n.k kila kitu kinaenda. Marais wenu Wakiambiwa watu wenu ni maskini, wanyonge na walalahoi kabidhini mlivyonavyo tuwasaidie wanatoa yote!

Zalenskyy ni kidume asee! Kaenda UK kapokelewa kwa staha!

NB: Trump kama Putin wote wanapenda vya kunyonga! Na wenye akili timamu duniani wanajua.
Kifupi: Trump wenu ni puppet wa Putin ambaye anatumika kama silaha ya kuivuruga US kama vile US ilivyowahi kumtumia Mikhail Sergeyevich Gorbachev kuivuruga RUSSIA!
US isiposhtuka, ndani ya utawala wa Trump itakuwa nyuma ya China, Russia na Kiduku!
 
Nilichofikiria Zalensky alikwisha ikataa maana alitumwa mtu kabla akaenda Ukraini kwakua EU kuna kitu wamemuahidi ndio maana analeta jeuri kwakua Trump ameonyesha kumjali Putin.
Kuna kitu raisi wa Ukreini hajajua,wenzie wamemuingiza vitani kwakua watu wanahitaji malighafi za nchi yake hiki halijui kabisa
 
Planned.
 
Tuliza presha, agiza mdudu choma na ndizi hapo mwili ukae sawa
 
Nimeshangaa hapo, kwenye mambo makubwa ya interest muhimu za nchi analeta siasa za ndani, mambo ya Obama, Biden, ugomvi wa ndani, ugomvi wa kifamilia, ni utoto.
Uko huku tanzagiza,wako huko marekani they know everything better than you.
MAGA ndio kauli mbiu Yao kama KAZI IENDELEE ilivyo kauli mbiu yetu.
 
Mawazo ya kijima haya.
Trump Yuko sahihi kabisa coz anapambania Kodi za wamarekani. Kwanini afiche mazungumzo behind the camera? Kwake itampa political mileage.
Wenzetu ni wawazi sio kama huku kwetu ambapo kila kitu ni siri.
 
Kwamba unamchamba billionaire na US president....🤣🤣🤣🤣
Bongo ni nyoko haki.
 
Kwakweli hata mimi nilimkubali sana alikasirika mpaka akatamani kulia kwaajili ya Nchi yake. Trump kuna mahala anataka kujifanya yeye ni malaika katumwa kuja kuuongoza ulimwengu.
 
Tuliza presha, agiza mdudu choma na ndizi hapo mwili ukae sawa
Unestukiwa, umechemka......kamwe hautoweza sababu limeamriwa na Mungu. Fanya hilo tu unaloliweza, la kula huyo mdudu basi mengine huna uwezo nayo sababu hayahitaji kichwa chenye memory ya kb 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…