Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Kabisa, hataki ushauri wa wataalamu; yeye anataka kwenda kwa mtindo wake hataki hadithi za diplomatic ritual kwenye utendaji wake.
 
Na hasa kwenye uongozi... Unaweza kuokota dodo chini ya mnazi!
SSH ukimsikiliza kwa makini unasema daah hakuna haja ya kupeleka mtoto formal education!
Mimi samia nilishaacha kumsikiliza mda sana ukiniambia ni mara ya mwisho ni lini nimeshikiliza hotuba yake sikumbuki ni mtu amenifanya nione maisha ni jambo la ajabu sana na amenifanya hata nafasi ya urais nimeichukulia ya kawaida sana mimi mtu kuwa rais anawezi niogopesha kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma
 
Kila Raisi anaeenda kuonana na trump kwa sasa anapangiwa miadi na psychologist wake aampe mbili tatu za kukabiliana trump mindset......
Emmanuel Macron alimbagaza vibaya Trumpet!
Alimfanyia fact-checking live kwenye press conference, White House!
Trump ni bully, bigot & bipolar! Kudeal na viumbe vya hivyo sharti ujipange!
 
Kabisa, hataki ushauri wa wataalamu; yeye anataka kwenda kwa mtindo wake hataki hadithi za diplomatic ritual kwenye utendaji wake.
Trump anaishi kwenye fanatsy ya hali ya juu sana hata ukimsikiliza kipindi cha kampeni zilikuwa ni pure fantasy anazozitoa

Trump ni kama kijana ambaye hana experience ya maisha kwa hiyo anakua yuko dictated na fantasy kwenye kila jambo analoliona ni mtu mzima kiumbo ila kiakili ni kama kijana wa miaka 18
 
Unasahau alienda Kenya akavuruga hali ya hewani??
Magufuli unamuonea kwa sababu Tanzania ni nchi ambayo haina ushawishi wowote duniani chochote atakachoongea magufuli hakuna mtu aliyekichukulia serious na hakikua na impact yeyote ile

Trump ni Rais wa nchi yenye uchumi mkubwa sana duniani lazima ufamu hilo any move anayofanya lazima ichukuliwe kwa u-serious mkubwa sana duniani ni tofauti na magufuli

Trump au rais wa marekani anaweza ongea jambo hata kimasihara na stock exchange zote duniani zikawa na hali mbaya sana
 
Rais wa US kwa sasa ni Elon Musk
 
Moja ya kikao nilichohudhuria Germany hivi Karibuni…. Kilihoji kwanini waafrica hawalipi kodi kwenye nchi zetu lakini tunatenga bajeti za kuwasaidia? Hamuoni tunawafanya hawa watu kuendelea kuwa wapuuzi and lazy ?
Umenena kweli kabisa, kumbe vile vituo vya Afya ni msaada wa Watu wa Marekani na Sio Samia...... CCM waongo sana
 
Trump derangement syndrome!

Kubishana wabishane wote, akiwemo Zelenskyy, lakini lawama anapewa Trump peke yake kana kwamba alikuwa anabishana peke yake.

Funzo: ukiwa ombaomba hayo ndo madhara yake.

Unafunga safari toka Ukraine kwenda Washington DC kuomba wakupige tafu halafu unaleta ujeuri.

What do you expect?

Jengeni nchi zenu na muache kuwa ombaomba.

Mimi nitakufa na shida zangu kabla sijauweka rehani utu wangu kwa kuwa ombaomba.

Potelea mbali. Kufa na heshima yangu ni bora maradufu kuliko uhai wa kudhalilishwa.
 
Nafikiria namna alivyoongelea kwenye kitabu chake changamoto za ku water down maswala ambayo Trump alikuwa anataka kuyaongea na viongozi wenzake.

Sasa hivi inaonekana huko white house hakuna wa kumfunga kamba Trump ni mwendo wa free flaw .
Yeye anadhani kwasababu MAGA wanataka change basi hiyo inampa ni blank check kwa chama chake kufanya chochote wanachoweza.

Obama aliwahi kufanya hayo, nakumbuka Sara Palin akaunda Tea paty movement, ingawa haikusumbua lakini ni kwasababu Obama naye alikuwa anafanya mambo ya chama chake bila kuwashirikisha Republican, naona Trump naye anafuata nyayo za Obama.

Ameshinda hivyo anaona hana sababu ya kuuliza mtu, kufuata ushauri wa congress, kila kitu ni executive order.
 
Zaidi ya viongozi wa Ujerumani, UK na France, hakuna mwenye kutaka kuongea na Trump
 
Mimi siyo mtaalamu wa diplomasia.Ila hata kwa kutumia D mbili,naelewa kwamba Trump na makamu wake walikosea,walivunja mila ya kidiplomasia.

Trump na makamu wake walikuwa wanadhani wanaongea na mkuu wa wilaya waliyemteua wao mpaka Zelensky alikuwa anasikika akiwakumbusha kwamba Zelensky is a president.
 
Ni matatizo ya policy zao wote, NATO hawataki kwenda vitani na Russia. Hivyo wanamtegemea US ama amsaidie Ukraine kuzima moto, au asiuzime uenee kote East Europe kisha waingie vitani kama NATO kumdhibiti Putin.

Na Trump aliahidi atamaliza vita kibabe, naona ndivyo anafanya, anamfokea mnyonge alfu yule mwingine haweki wazi aliongea naye nini.

elenski anataka Maongezi ya pande zote awepo, Trump hataki Zelenski ashiriki mazungumzo, anataka akubali kila anachoambiwa na Trump, huo ni ujinga.

Mi naona ni sawa kusimama kuliko kupiga magoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…