Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna siku kutakuchaTunapenda sherehe, lakini tulivyo maskini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakiongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?
Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Mlevi huwa hakosi hela ya pombe. Bora hela ya chakula isiwepo ila pombe ni muhimuTunapenda sherehe, lakini tulivyo maskini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakiongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?
Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Mlima Kilimanjaro unaenda wapWamekopa kwangu, na mkichelewa kunirudishia mlima kilimanjaro unaenda kenge weusi nyie.
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, wewe ukipewa hesabu kamili ya bajeti na matumizi ya matamasha yaendanayo sambamba na mbio za mwenge wa uhuru tu utashangaa sana.Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?
Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Kuna kitu kinaitwa kazi na dawa, bata batani!. Utafiti umethibitisha ukiwapa watu raha, matamasha, kula bata batani, ku enjoy life, watu wenye raha na furaha wanazalisha zaidi kuliko watu wenye huzuni, shida na matatizo lukuki. Mungu alimuumba binadamu ili apate raha.Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?
Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Hujasema tamasha lipi wala sherehe zipi? Tukujulishe pesa zake zinapatikana wapi.Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi tunapata wapi nguvu yakuongeza matumizi hasa yasiyo na tija kimaendeleo?
Kwanini tunaishi kwa matamasha? Tutazalisha lini tulipe madeni?
Kwa Mwamposa wenye njaa wanampelekea senti zao huku wakishinda na njaa.Hizo ni Kodi za walala hoi ambao wanakula mara moja kwa siku huku mama yale said akicheza sebene na watoto wake kina salimu
Wanasema Kila mtu ale urefu wa kamba yake
Huo ndio uhalisia mkuu.Wajibu wa mimi nawewe ni kulipa kodi na wao wajibu wao ni kuzitumia kodi zetu.